Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Wanawake walio wengi full majungu na kuoneana wivu, kifuatacho kulogana...yaan mi huwa nakuwa makini sana, urafiki ni wa kikazi tu, tukitoka nje ya geti la kazi tusijuane!
Bifu na diamond haimake sense maana diamond hajawahi kumjibu hata sasa utasemaje una bifu na mtu ambaye hajakujibu hata na hana time na wewe,
Nilidhani bifu ya yeye na Linda ilikuwa hot kumbe hamna hata kwenye list
We mwaga umbea bana acha maswali km polisi ..Wa wapi wee
Nimetoka kulisoma huko u turn nusu saa iliyopita hadi kichwa kinauma kwakweli.
Hongera zake, ni typist mzuri sana.
nimepitia namba 1 hadi 10 wote ni wanawake, hajagombana na mwanaume yeyote??
Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.
Bifu na diamond haimake sense maana diamond hajawahi kumjibu hata sasa utasemaje una bifu na mtu ambaye hajakujibu hata na hana time na wewe,
Nilidhani bifu ya yeye na Linda ilikuwa hot kumbe hamna hata kwenye list
Wapo mbona? Nasikia hadi mmiliki wa hapa tulipo.
Nikae kimya mie bado naipenda JF.
Gb yangu moja iliisha ndo nimejiunga, ngoja nikae sawa
Haya na ujibu pm's zetu sasa.
Eeeh insta kumekucha tena
Eeeh insta kumekucha tena
Shoga tupiamo vi screen shots basi?
Jamanii Mrembo by Nature leta basi screen shot za chaga bibi tuone ,Nami ashaniblock hhhhaaaaa
Siku hiz mange ananifurahisha jamaniii japo Ana mapungufu yake lakin pia Ana mazuri yake,halaf haogopi wala hajalii,
Urafiki wetu sie wanawake lazima mgombaneeee tuu sijui kwanini tuna wivu,chuki,husuda,umbea,
Bora kukaa kivyako vyako tu