Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Is it me or this woman has serious mental problem?
Hujakosea kabisaa
Huyo ni Shujaa wa wanawake tz.
Sasa ndio uone tz imejaa wanawake wa namna gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is it me or this woman has serious mental problem?
tANZANIA KUNA WAPUUZI WENGI SANA
Wengi mno......
Wengi mno......
Ndo sawa mtu ukutane na mchawi mwenzio usiku mkiwa uchi wa mnyama mnawanga, halafu wewe unamuuliza mwenzio wewe unawanga? Apo ushasahau kuwa na wewe unafanya vile vile, hahaha haah

Shatia timu mwenzangu nataka nione mwisho wa story. Inaonyesha kikulacho ki nguoni mwako kwa kweli loh!
Hahaaaaa haaa kweli tupu umeandika hapa. Waarabu wa Pemba hujuana kwa vile.
Mwamvita anamaanisha South Africa alipohamia kikazi.
Hata mimi nilihisi hivyo lakini kuna mkanganyiko maana Mange anasema kipindi kile huyo mdada alikua anaishi mbele.
Ndio huyo Nacky sijui akawa anang'anga'ania kwenda kumtembelea.
Hiyo story ya Nyaki alishaandika zamani kwenye comments zake, ni huyo huyo Mwamvita ni anasafiri alikuwa USA kipindi fulani Nacky kabla hajarudi TZ ndio alitaka kukutana nae etc
Naam, sasa nimekuelewa vyema dear. Huyo Nacky naye ana shida! Ndio nini kujipendekeza kwa mwanamke mwenzie hivyo?
Aliona mange anakula dola za bure na kulipiwa kila akitoka nae akataka ushosti atiii na ndio tumeona na ndege kukaa business class alilipiwa pia...nani hatataka kuwa karibu nae. Na ni lazima Mange alikua anamwongelea kwa sanaaaaa bila breki jinsi anavyofaidi kwa Mwamvita. Na ndio hayooooooo