MangeKimambi, kinara wa maandamano ya Oktoba 29 huyu hapa

Umefirwa sana kijana.

Sasa unamuonea wivu Mange Kimambi.
 
Kweli mkuu umelost kishenizi ! Yaani unaogopa laana ya MangeKimambi??
 
Amani ya nchi kwanza
 

Attachments

  • 583319c0e3ca4061b4808b69a059c87e.jpg
    108.6 KB · Views: 17
Kifupi Mange ana akili kuliko baraza zima la mawaziri chawa wa mama combined, take it or leave it, kuvaa mivazi ya beach ni personal life kila ntu ana maamuzi yake...
Tuwekee na wewe picha yako ukiwa beach tuone ngozi ya makende yako ilivyo sinyaa
 
Yaani kama unategemea MangeKimambi atakubadilishia maisha, nenda ukapime afya ya akili
 
Hawa sasa ndiyo akina Lord Denning
Umefirwa sana kijana.

Sasa unamuonea wivu Mange Kimambi.
Ukifirwa wewe Mpwimbe inatosha
 
Ndiyo kabisa na akilli zako uache shughuli zako eti umeambiwa na MangeKimambi uamdamane
Nilichosema ni sahihi ama si sahihi halafu hakuna mtanzania anaetaka kuandamana kisa mange, huyo mange alishawahi itosha maandamano na muamko ukawa mdogo yakafeli..

Shida serikali mnazidi kufanya mambo ya hovyo watanzania wanaamka mdogo mdogo.. hata huyo mange afe watu watatamani kuandamana kwa haya mnayowatendea, na hata yakifeli safari hii ipo siku wataandamana, sababu hamjui kula na vipofu
 
Hapo ndio uone faida na hasara ya uchawa
 
Yaani kama unategemea MangeKimambi atakubadilishia maisha, nenda ukapime afya ya akili
Wacha uzushi,
Hakuna anayemtegemea Mange Kimambi. Seems wewe chawa ndo unam follow na kumsoma huko.

Wananchi wanachopinga ni maovu ya watawala:-
Ufisadi, uonevu, utekaji, ufir*ji, mauaji, wizi wa kura/uchaguzi, nk
 
 
Labda wewe siyo mtu wa mitandao ya Jamii. Kwa taarifa yako hii tarehe 29/ 10 imechaguliwa na Mange naye ndiyo mtu wa kwanza kui broadcast. Wanamutandao wengine wamesikia kwake.

Yeye ndiye organiser lakini yuko California
 
Labda wewe siyo mtu wa mitandao ya Jamii. Kwa taarifa yako hii tarehe 29/ 10 imechaguliwa na Mange naye ndiyo mtu wa kwanza kui broadcast. Wanamutandao wengine wamesikia kwake.

Yeye ndiye organiser lakini yuko California
Wewe sio bure utakuwa ni mnufaika na huu mfumo wa wizi na unyonyaji unaoendeleq nchini kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…