Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Mdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
Tanzania hakuna Mwanasiasa asiyevuta Bangi

Wewe ni mtoto mdogo hujui Siasa

Huyo Wassira Hakunaga kilevi hatumiagi kama unabisha kaulize pale Makangira na Maandazi road

Ila sina hakika kama Dar unapajua 😀
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Nakupongeza kwa ubunifu wa kuanzisha kipindi hiki muhimu kwa mustakabali mwema wa siasa za nchi hii lakini nakusihi usiingize uchawa kwenye kipindi. Jitahidi kuwa neutral ili kubalance story. I hope utazingatia ushauri wangu bila shuruti.
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Sasa usilete uhuni wa dk 45 tena maana una watu wa kutosha tunataka kusikia wanamaliza kuwasilisha siyo kwamba akitaka kutoa point unamkatisha eti ongea sek 2,2 eti muda hakuna. Waongee hata mpaka asubuhi.
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Umerudi kwa kasi mpya na hali mpya. Unakubalika.
 
Channel 10 kituo cha televisheni cha chama kongwe dola CCM kujaribu kufanya WaTanzania wasifananishe kituo hicho na magazeti ya Tanzanite, Uhuru na Mzalendo.

Channel Ten ni kama yale magazeti ya TANZANITE na majarida ya Cyprian Musiba ambayo yalikuwa yamewekwa pale na serikali ya CCM
1703939055373.png

Photo : Cypria Musiba 'mmiliki' wa magazeti ya TANZANITE na mitandao yake

Africa media Group inasema wafanyakazi wake wengine wapo pale channel 10 kwa kazi maalum huku wengine ni wafanyakazi wa mikataba na pia wakudumu, uongozi wa Channel Ten unamueleza Mh. Rais John Magufuli mwenyekiti wa CCM taifa alipotembelea kituo hicho kama clip hii hapa ndefu inavyoweka wazi kuhusu channel Ten iliyopo jijini Dar es Salaam Tanzania
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Ni jambo jema na nakutakia kila la kheri
 
5 February 2019
Dar es Salaam, Tanzania

MAGUFULI AINGIA KITUO CHA CHANNEL TEN KUSIKILIZA CHANGAMOTO

Mwenyekiti wa CCM aokoa madeni ya Africa Media Group 'wamiliki' wa channel Ten na kuwaahidi kufanyia kazi suala la mitambo chakavu ya Channel Ten

View: https://m.youtube.com/watch?v=36xp26i5axc

CHAMA TAWALA CCM CHACHUKUA KITUO CHA BINAFSI CHA TV CHA CHANNEL TEN

Sasa ni rasmi - kwamba moja ya vituo vikuu vya TV, Channel Ten kimenunuliwa na chama tawala - CCM.

Mwenyekiti wa CCM John Pombe Magufuli alisema "yeyote anayetembelea African Media Group atambue kuwa yuko kwenye chombo cha habari kinachomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi."

Magufuli ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano aliipatia Channel Ten TZS milioni 200 kununua vifaa ili kurahisisha kupanua wigo wake kwa kila mtu kuona matangazo yake nchi nzima kwa wote.

CCM iliadhimisha miaka 42 tangu Februari 5, 2019.

Kumilikiwa kwa African Media Groupd ambayo pia ina vituo vya redio, kunatimiza azma ya muda mrefu ya chama dola kongwe ya kumiliki televisheni.

Wakati wa ununuzi huo pia ni muhimu sana kwa kuwa kuna chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu 2019 na uchaguzi mkuu 2020 ambapo Rais Magufuli atagombea tena uchaguzi huo utafanyika mwakani 2020.

Uwekezaji huo pia utaonekana kwa watazamaji kuwapa CCM makali zaidi ya wagombea wengine kwani tayari kuna kituo cha utangazaji cha serikali TBC, Gazeti la Chama cha Uhuru na Magazeti ya kila siku - Daily News na Habari Leo, Uhuru na Mzalendo vyote zinazoelekeza nguvu kukipamba chama dola CCM mbele ya watu.

Hali hii inapunguza zaidi kiwango cha usawa ktk uwanja wa michezo wa kisiasa, waangalizi walibaini.

Hii inawaacha, Independent Televisheni (ITV), Clouds TV, Star TV na Azam TV - mitandao yote ya kibinafsi kutoa matangazo yenye uwiano. Source : Ruling party acquires private TV station |

RULING PARTY ACQUIRES PRIVATE TV STATION​

ten-300x167.png

It is now official – that one of the main TV stations, Channel Ten has been acquired by the ruling party – CCM.

CCM chairperson John Pombe Magufuli declared “whoever visits African Media Group should know that he/she is at a media owned by Chama Cha Mapinduzi.”

Magufuli who also doubles as President of the United Republic provided Channel Ten with TZS 200 million to buy equipment to facilitate it to broaden its reach for everyone to view its transmissions.

CCM marked its 42th anniversary on February 5, 2019.

The acquisition of African Media Groupd which also has radio stations ,fulfills the party’s long standing ambition of owning a television.

The time of the acquisition is also logistically paramount as there are local government elections this year and general elections where President Magufuli will definitely stand for re-election will be held next year.

The acquisition is also seen by observers to give ccm an edge over other contenders as there is already the state broadcaster TBC , Party newspaper Uhuru and state dailies – Daily News and Habari Leo all tilting towards CCM.

This scenario further shrinks the level of the political play ground, the observers noted.

This leaves, Independent Television (ITV) , Clouds TV, Star TV and Azam TV – all private networks to offer a balanced coverage.

Source : Ruling party acquires private TV station |
 
Back
Top Bottom