kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hao ndio wanasiasa wa ukweli sio wale susia susia fc wanaendeshwa kwa mihemko na matukio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hakuna Mwanasiasa asiyevuta BangiMdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
Channel 10 ni CCM ukumbuke, Wageni wanaratibiwa na ChamaHao ndio wanasiasa wa ukweli sio wale susia susia fc wanaendeshwa kwa mihemko na matukio!
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee
Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
Usikose!.
Paskali
Hao vibaraka nani anataka kuwasikia. Duniani kuna wehu ila CHADOMO wamezidi. Eti Lema mwenyekiti wa kanda? Jambazi, mvuta bangi tunayemfahamu.Maeneo ya unafiki kama hayo huwezi wakuta CDM
Huyo uliyem-quote mwenyewe alikuwa hajitambuu.Bila Dr Mdude, mh Tundu Antipas Lisu na Wakili msomi Mwabukusi hamna la maana hapo
Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
CCM ni km maji ndugu huwezi ikwepa.Haiwexekani mjadala we maana ukafanyika kwenye TV ya CCM ukihusisha zaidi machawa
We una nini umekifanyia nchi hii, nani hata anakufahamu? Kaa mbali na wenye akiliHalafu bado nikae kwa tv kuwasikiliza ,hawa sidhani kama wana jipya
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee
Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_
View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn
View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh
View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z
View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX
View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU
Usikose!.
Paskali
Unataka kujua niliyafanya?We una nini umekifanyia nchi hii, nani hata anakufahamu? Kaa mbali na wenye akili

Alipotajwa Wasira tu nikahisi hii comment yako ndiyo mlango wa kutokea na kuingia muda wote wa kipindiHicho kipindi sharit kuu umsifie Malikia,
Alaa nakumbuka kipindi cha makwaiya wa kuhenga unazi unazi!Channel 10 ni CCM ukumbuke, Wageni wanaratibiwa na Chama
Hiki kipindi angefanyia Star tv, Diallo hanaga mbambamba japo ni CCM