COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na wanasiasa viongozi Serikalini ambao ni wafuasi wa Yanga ili mzee Mangungu aendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba ili Simba isisonge Mbele.
Wanachama wa Simba msiposhtuka mmekwisha.