Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kahusikaje
Yaani umefungwa mpaka umezoea kufungwa🤣🤣🤣🤣duu! Kazi ipo kipindi cha nyuma nilikua naumia tukifungwa lakn saiv naona kawaida tu
Yaani umefungwa mpaka umezoea kufungwa
Hoja yako haina mashiko. Mangungu ni pandikizi la Yanga kwenye nini! Yeye ndiye anayesajili wachezaji? Yeye ndiye anayecheza uwanjani? Yeye ndiye anayepanga kikosi cha timu? Yeye ndiye mdhamini mkuu wa timu?Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu.
Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na wanasiasa viongozi Serikalini ambao ni wafuasi wa Yanga ili mzee Mangungu aendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba ili Simba isisonge Mbele.
Wanachama wa Simba msiposhtuka mmekwisha. View attachment 3649415
Ulitakaa aangalie wapi mjomba! Hadi kwenye kupiga picha mnampangia pozi? Haya manyanyaso mbona ingekuwa ndiyo mimi nisingeweza!Hata kwenye picha ye kaangalia chini mnafimi huyu mzee daah
Kuna watu watasema "mbona havai jezi ya simba? Huyu siyo mwenzetu"Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na wanasiasa viongozi Serikalini ambao ni wafuasi wa Yanga ili mzee Mangungu aendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba ili Simba isisonge Mbele.
Wanachama wa Simba msiposhtuka mmekwisha.
View attachment 3649415
🤣Ulitakaa aangalie wapi mjomba! Hadi kwenye kupiga picha mnampangia pozi? Haya manyanyaso mbona ingekuwa ndiyo mimi nisingeweza!