Hako kababu na kasemaji hao ni Yanga damu simba itafungwa milele hado hatoke haoWanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. View attachment 3649415
Mangugu hata jessy havai na hataki kabisaWe endelea kupiga majungu tu.
Ila nakuhakikishia tutamlinda na kumkingia kifua mwenyekiti wetu mpaka atakapochoka na kusema sasa basi.
Simba bila Mangungu haiwezekani.
Wote wanaomtetea MANGUNGU ni MAPANDIKIZI ya YANGA hivyo wala sishangaiWe endelea kupiga majungu tu.
Ila nakuhakikishia tutamlinda na kumkingia kifua mwenyekiti wetu mpaka atakapochoka na kusema sasa basi.
Simba bila Mangungu haiwezekani.
Nguvu moyaWanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi.
Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu.
Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na wanasiasa viongozi Serikalini ambao ni wafuasi wa Yanga ili mzee Mangungu aendelee kuwa Mwenyekiti wa Simba ili Simba isisonge Mbele.
Wanachama wa Simba msiposhtuka mmekwisha. View attachment 3649415
Hadi aamue mwenyeweKwani uongozi wake mwisho lini
Nimecheka sanaHadi aamue mwenyewe
Wanacheza namba ngapi uwanjani?Hako kababu na kasemaji hao ni Yanga damu simba itafungwa milele hado hatoke hao
duu! Kazi ipo kipindi cha nyuma nilikua naumia tukifungwa lakn saiv naona kawaida tuHadi aamue mwenyewe