Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

Majengo kumi tu ya pale Posta yanaweza kua na thamani yamajengo 5000 ya kinondoni
Pspf towers,TPA Tower,Mnf Tower, pension fund Tower Benjamin mkapa....
Hayo majengo yanaweza safisha vibanda 5000 vya kinondoni
Unalinganisha ofisi na majengo ya kuishi kinondoni.

Linganisha Chanika na mikocheni kama residential areas. Au mbezi beach na Gongolamboto
 
Turudi kwenye swali la msingi Ilala ndio no1
Kimakazi huwezi fananisha miko na Chanika bruh....
Ama mbezi beach na Gomz...Mbezi ni high-end suburbs Gomz ni unplanned settlement
 
Kwahiyo Chanika na Gongolamboto sio Ilala?!!

Unanielewa kweli wewe!

Ukute nabishana na linalodhani kinondoni ni pale American chips tu na ilala ni pale karume na Posta mkiambiwa Muende shule hamtaki
 
Uongo
 
Kama nilichoabdika hapo hukuelewa ungeuliza usiwe kama mjinga.
Mbona usitaje mwananyamala ama tandale kwani haziko kinondoni?

Nmekuambia huwezi compare mbezi beach na chanika ambayo ni squatters ama gomz
 
Hata hiyo mwananyama aridhi yake ina thamani mara 10 ya aridhi ya Chanika ng'ombe wewe.

Kaulize kiwanja cha 40 Kwa 40 Chanika na Tandale halafu urudi hapa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unalinganisha ofisi na majengo ya kuishi kinondoni.

Linganisha Chanika na mikocheni kama residential areas. Au mbezi beach na Gongolamboto
Hahahaha mwana analinganisha majengo ya ofisi za serikali na nyumba za kuishi watu, badala ya kulinganisha mitaa kwa mitaa ambayo inaishi watu wa kawaida.

Na mara nyingi watu wa Ilala hukimbilia kujisifu kupitia ofisi za serikali bank za serikali na mashirika mbali mbali ya umma ambavyo hata mimi na wewe pia tunahusika na ofisi hizo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata maeneo ambayo ni uswazi yaliyopo kinondoni Yana thamani kubwa Kwa bei ya plot ukilinganisha na uswekeni za Chanika au Banana.

Tandale huwez kupata eneo Kwa milion 5 Ila huko uswekeni Chanika unapata eneo Hadi la milion 2.

Hata uswazi zingine za Manzese na mwananyamala maeneo yake Yana bei ukilinganisha na uswazi za ilala.

Halafu MTU anakuja kuleta blablaa.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Turudi kwenye swali la msingi Ilala ndio no1
Kimakazi huwezi fananisha miko na Chanika bruh....
Ama mbezi beach na Gomz...Mbezi ni high-end suburbs Gomz ni unplanned settlement
Hahaha 😂😂
 
Kwahiyo Chanika na Gongolamboto sio Ilala?!!

Unanielewa kweli wewe!

Ukute nabishana na linalodhani kinondoni ni pale American chips tu na ilala ni pale karume na Posta mkiambiwa Muende shule hamtaki
Mkuu comment yako inachekesha 😂😂😂 japo naona mnashindwa kuelewana vizuri na mdau wa Ilala
 
Kama nilichoabdika hapo hukuelewa ungeuliza usiwe kama mjinga.
Mbona usitaje mwananyamala ama tandale kwani haziko kinondoni?

Nmekuambia huwezi compare mbezi beach na chanika ambayo ni squatters ama gomz
Kwahiyo hapa mkuu ulimaanisha mwamba alinganishe ile mijengo ya kuanzia
1) Morocco kuja victoria hadi makumbusho & Mnazi mmoja, posta hadi feri.

2) Kinondoni hadi mw/nyamala & Ilala hadi buguruni.

Bila shaka hili ndio mlikuwa mnamaanisha au mimi ndio sijawaelewa?
 
Back
Top Bottom