Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalinganisha ofisi na majengo ya kuishi kinondoni.Majengo kumi tu ya pale Posta yanaweza kua na thamani yamajengo 5000 ya kinondoni
Pspf towers,TPA Tower,Mnf Tower, pension fund Tower Benjamin mkapa....
Hayo majengo yanaweza safisha vibanda 5000 vya kinondoni
Turudi kwenye swali la msingi Ilala ndio no1Unalinganisha ofisi na majengo ya kuishi kinondoni.
Linganisha Chanika na mikocheni kama residential areas. Au mbezi beach na Gongolamboto
Kwahiyo Chanika na Gongolamboto sio Ilala?!!Turudi kwenye swali la msingi Ilala ndio no1
Kimakazi huwezi fananisha miko na Chanika bruh....
Ama mbezi beach na Gomz...Mbezi ni high-end suburbs Gomz ni unplanned settlement
UongoMajengo kumi tu ya pale Posta yanaweza kua na thamani yamajengo 5000 ya kinondoni
Pspf towers,TPA Tower,Mnf Tower, pension fund Tower Benjamin mkapa....
Hayo majengo yanaweza safisha vibanda 5000 vya kinondoni
Kama nilichoabdika hapo hukuelewa ungeuliza usiwe kama mjinga.Kwahiyo Chanika na Gongolamboto sio Ilala?!!
Unanielewa kweli wewe!
Ukute nabishana na linalodhani kinondoni ni pale American chips tu na ilala ni pale karume na Posta mkiambiwa Muende shule hamtaki
Hata hiyo mwananyama aridhi yake ina thamani mara 10 ya aridhi ya Chanika ng'ombe wewe.Kama nilichoabdika hapo hukuelewa ungeuliza usiwe kama mjinga.
Mbona usitaje mwananyamala ama tandale kwani haziko kinondoni?
Nmekuambia huwezi compare mbezi beach na chanika ambayo ni squatters ama gomz
Ushaenda barabara kuanzia moroco mwenge na moroco kupitia msasani hadi bunju?Uongo
Sijawahi enda na wala sijawahi fikaUshaenda barabara kuanzia moroco mwenge na moroco kupitia msasani hadi bunju?
Hahahaha mwana analinganisha majengo ya ofisi za serikali na nyumba za kuishi watu, badala ya kulinganisha mitaa kwa mitaa ambayo inaishi watu wa kawaida.Unalinganisha ofisi na majengo ya kuishi kinondoni.
Linganisha Chanika na mikocheni kama residential areas. Au mbezi beach na Gongolamboto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha mwana analinganisha majengo ya ofisi za serikali na nyumba za kuishi watu, badala ya kulinganisha mitaa kwa mitaa ambayo inaishi watu wa kawaida.
Na mara nyingi watu wa Ilala hukimbilia kujisifu kupitia ofisi za serikali bank za serikali na mashirika mbali mbali ya umma ambavyo hata mimi na wewe pia tunahusika na ofisi hizo.
Cha kuongezea pia, Kinondoni imebeba maskani ya Mashoga na lesbians wengi hapo Dsm.Kinondoni imebeba utajiri wa dar.
Jiheshimu.Wilaya ni Kinondoni uende kuishi Chanika Una akili kweli wewe
Mkuu comment yako inachekesha 😂😂😂 japo naona mnashindwa kuelewana vizuri na mdau wa IlalaKwahiyo Chanika na Gongolamboto sio Ilala?!!
Unanielewa kweli wewe!
Ukute nabishana na linalodhani kinondoni ni pale American chips tu na ilala ni pale karume na Posta mkiambiwa Muende shule hamtaki
Kwahiyo hapa mkuu ulimaanisha mwamba alinganishe ile mijengo ya kuanziaKama nilichoabdika hapo hukuelewa ungeuliza usiwe kama mjinga.
Mbona usitaje mwananyamala ama tandale kwani haziko kinondoni?
Nmekuambia huwezi compare mbezi beach na chanika ambayo ni squatters ama gomz
Fanya aaaahCha kuongezea pia, Kinondoni imebeba maskani ya Mashoga na lesbians wengi hapo Dsm.