Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment yako imejitosheleza vizuri sana. Nina imani wasioijua Ilala vizuri wakipitia hapa wataelewa kile ambacho walikuwa hawakijui.ilala city Council
ina bandari
Ina Mwendokasi
Ina Manispaa ndani ya Jiji la ilala
Ukifuatilia sifa jiji utagundua ilala imemaliza kazi
Saaa basi
Mapato ni makubwa kutokana na population.
Ni katika majiji yanayojitegemea na huko mbeleni watawajibikq kuimarisha huduma waendane na wakati
Ilala hamna..?Na wauza unga, mateja, wacongo na Marioo aka bentenz!
watumiaji wamesheheni!!Ilala hamna..?
Mimi nimeandika vitu ambavyo vinajieleza vyenyewe mkuu, tofauti na hao wengine wanaforce tu.Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua 😀😀😀
Sawa 👍 sawa 👍Yani ulienda Masaki Utadhani sio Tanzania
Kijichi, maeneo Fulani ya kurasini na Chang,ombe mkuuMimi M'kinondoni sema temeke ni manispaa ya kinyonge sana, hakuna hata kata moja ya uzunguni kama manispaa zingine 🤣🤣🤣
Tunakaa karibu na stand ya kwenda Moshi!Wilaya ya ubungo ndo wilaya inayoongoza kwa idadi kubwa ya wachaga🤣🤣🤣🤣
Hapo ndio penyeweOsterbay and Masaki zipo katika wilaya ya Kinondoni mkuu