Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hili ni anguko la kwanza la Hezbollah baada ya Serikali za mitaa huko Beirut kuamua kusiwepo kabisa bendera zilizotundikwa Katika jiji, Hatua ya pili Wanatakiwa wasalimishe silaha zao kwa jeshi la Taifa na magaidi hao warudi hadi kwenye mto Ritan kama ilivyo a liwa na mkataba wa kusimamisha mapigano uliowekwa na kusaidiwa na wao wenyewe!!
 
Attachments

  • IMG_1956.mp4
    2.8 MB

Safi sana ila unabaki kujiuliza huko Ritan River wabakie kufanya Nini ilitakiwa wasiwepo kabisa ndani ya nchi
 
HEZBOLAAAH
1000399941.jpg
 
Hezbollah terrorist group is now nothing but a spent force.
 
Hawa makafiri walivyokuwa wanasifiwa humu na magaidi wenzio unaweza ukahisi haya unayoyaona ni kama upo ndotoni, asante sana Netanyau na war cabinet yako kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwakamua mavi hawa makafiri wavaa pampasi
 
Hili ni anguko la kwanza la Hezbollah baada ya Serikali za mitaa huko Beirut kuamua kusiwepo kabisa bendera zilizotundikwa Katika jiji, Hatua ya pili Wanatakiwa wasalimishe silaha zao kwa jeshi la Taifa na magaidi hao warudi hadi kwenye mto Ritan kama ilivyo a liwa na mkataba wa kusimamisha mapigano uliowekwa na kusaidiwa na wao wenyewe!!

Hezbollah wameshaishiwa. Hizi zama zonataka fikra tofauti
 
Hili ni anguko la kwanza la Hezbollah baada ya Serikali za mitaa huko Beirut kuamua kusiwepo kabisa bendera zilizotundikwa Katika jiji, Hatua ya pili Wanatakiwa wasalimishe silaha zao kwa jeshi la Taifa na magaidi hao warudi hadi kwenye mto Ritan kama ilivyo a liwa na mkataba wa kusimamisha mapigano uliowekwa na kusaidiwa na wao wenyewe!!
huna chanzo chochote tupa kule uchafu wako
 
Back
Top Bottom