Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

HEZBULLAH wapo na wataendelea kuwepo we tulia utapata jibu mda sio mrefu kwamba Hezbullah ataingusha hio serekali ya Lebanon na Israel ataendelea kuchezea kichapo akijidai kugusa Lebanon
 
Hawawezi kukubali kivipi?
Kipondo cha Bibi kilishawanyoosha broh.

Saivi bado magaidi wa Hamas na Houthi
Magaidi wa HAMAS saivi Myahudi anawapeleka puta kuelekea Golgota. Wamechoka hoi na hawana tena jinsi. Njaa kali, mahandakini hakukaliki, buffer zone imegeuzwa kuwa Kill zone upana wa nusu kilometa kuizunguka Gaza strip yote.......hahaha -Yes. hakuna rangi wataacha kuona.:StockExplosion:
Hao Houthi wameshachuchumalishwa tayari kwa jando na ngariba USA keshatoa kisu chake chenye chata ya Okapi wamechanganyikiwa -hawajui tena wafanyeje manake hata yule mjuba wao Iran aliyewapa jeuri sasa yupo mezani huko Qatar anafanya mazungumzo na USA.
Hezbollah ndo hao sasa wanatrend wapo lock-up huko ng'ambo ya mto Litani - ujeuri umewaisha wameinamisha vichwa vyao na wameshapewa amri ya kusalimisha magobore yao yote waliyopewa na Iran. Case closed.
 
HEZBULLAH wapo na wataendelea kuwepo we tulia utapata jibu mda sio mrefu kwamba Hezbullah ataingusha hio serekali ya Lebanon na Israel ataendelea kuchezea kichapo akijidai kugusa Lebanon
We endelea kuota pakikucha utakuwa umesha jinyea kitandani. Hizbullah imebaki historia tu kama iliyokuwa Al Qaeda.
 
We mtoto wacha kuota.
Wewe gaidi ndio unaye weweseka na kujambajamba tu baada ya mabwana zako kupigwa mande na kuchanwa marinda ndio maana zile mada zenu za ushoga sijui mashoga hatuzisiki tena maana mwanaume mumeshamjua sasa
 
Ushoga ni deseturi ya kanisani. Wewe mwenyewe shoga inatosha jina lako.
 
Huyu rais wasasa wa Lebanon mkuda kishenzi ila yatamkuta ya Syria hawaijui unafiki wa Israel na US, Safi kabisa wacha yawakute
 
Tulia upakatwe wewe shoga wa kiarabu mabwana zako wameshasambaratishwa kwa sasa
Mimi huwa sijali shoga akisema vile, najua huko bado sijafika, mishoga kwa mbali tu inajulikana we wa kwanza. Jitangazie tu eti kida 😄 🤣
 
Kuwanyanganya silaha Hezbollah ni kosa kubwa la karne na jeshi lao tayari sio imara nani atamzuia mazayuni? Yaan watajuta hao jamaa
 
Huyu rais wasasa wa Lebanon mkuda kishenzi ila yatamkuta ya Syria hawaijui unafiki wa Israel na US, Safi kabisa wacha yawakute
Sasa limeshakuwa Lao ni moja against Hezbollah halafu Wananchi wanauzoefu wa kichapo cha Myahudi - hawana hamu na zaidi wakizingatia ni huyo huyo Hezbollah aliyeliamsha kwa kununua vita ya HAMAS. Hapo hakuna namna ni kwa nini Hezbollah asinyooke? Hana msaada wowote tena wala pa kushika hakuna.
 
Mimi huwa sijali shoga akisema vile, najua huko bado sijafika, mishoga kwa mbali tu inajulikana we wa kwanza. Jitangazie tu eti kida 😄 🤣
Naona unauchungu wakujifungua mtoto wakiarabu ila sijajua baba yake yupo Lebanon au Palestina?
 
Sasa limeshakuwa Lao ni moja against Hezbollah halafu Wananchi wanauzoefu wa kichapo cha Myahudi - hawana hamu na zaidi wakizingatia ni huyo huyo Hezbollah aliyeliamsha kwa kununua vita ya HAMAS. Hapo hakuna namna ni kwa nini Hezbollah asinyooke? Hana msaada wowote tena wala pa kushika hakuna.
Hizbollah ndio sababu Israel hawakuingia Lebanon kusini wamekuwa wakifukuzwa Sasa watajitwalia maeneo Kama Syria TU hapo walebanon wamebugi Sana tu
 
Kuwanyanganya silaha Hezbollah ni kosa kubwa la karne na jeshi lao tayari sio imara nani atamzuia mazayuni? Yaan watajuta hao jamaa
Sivyo mkuu. Hayo yanayofanyika hapo ni kati ya yale yaliyokuwamo kwenye ile cease fire iliyosainiwa na pande zote mbili i.e. Israeli & Lebanon. Hezbollah hawakushiriki kwani hilo ni kundi tu la kigaidi na sio nchi. Sasa waliotia saini wameshakuwa na "Ushirikiano". Hilo zoezi la kunyang'anya silaha kama likikamilika kwa mafanikio; wataingia hatua nyingine - most probably ni ukarabati wa miundombinu iliyoharibiwa na vita lakini kubwa zaidi ni Utulivu na Amani kurejea na wananchi waendelee na shughuli zao za kijamii /maisha kama ilivyokuwa kabla ya vita. Hakuna atakayejutia hilo bali litakuwa ni jambo la kupongeza.
 
Hizbollah ndio sababu Israel hawakuingia Lebanon kusini wamekuwa wakifukuzwa Sasa watajitwalia maeneo Kama Syria TU hapo walebanon wamebugi Sana tu
Siamini itakuwa hivyo. Tusubiri tuone itakavyotokea esp. baada ya IDF kumalizana na HAMAS huko Gaza.
Ila hili ni angalizo zuri na la muhimu kulitazama.
 
Back
Top Bottom