Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Kijana unaongozwa na mahaba kwa magaidi ndo tatizo. Kwa hiyo pale Gaza ukiangalia Hamas wameshinda au wamechakazwa, pale Lebanon Hezbollah wako timamu au wamevurugwa? Na sasa hivi kuna wakati Israel anapiga posts zao ndani ya Lebanon Hezbollah hawajibu maana hawana tena namna. Au basi Houth wameshinda au kipigo wanakula cha ukweli. Uzuri televisheni ya wa Houth wenyewe ndo inaripoti wanavyopigwa wala si vyombo vya Magharibi. Western media wakiripoti wana quote television ya HouthUS anaota kama anavyo ota atawashinda Al Houth.
Pentagon wanalia wanasema MQ9 zimeisha angushwa 26 kila moja ina cost 30 Million.
Operation ya Carriers imeisha cost 2.2 Billion tokea kua za vita na Al Houth
Propoganda za US na Israel kwamba wameshinda vita ya Gaza ni ndoto ya mchana, kama vile unamzungusha sungura kwenye mkuki wakati su gura anakata mbuga😄
Propoganda zakusema Hezbollah wamekwisha ni sawa sawa na kwenda kukamua maziwa ya nyati, ukidhani ngo'mbe 🤣
Hapa Iran tu ndo amebaki na anatakiwa atumie vizuri hii chance ya mazungumzo anayoendelea nayo na US. Makundi yake aliyokuwa anayategemea yote yamekuwa clipled! Na yeye asipofikia tangible deal ajue ni next kwenye list