Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Shoga tafuta mabasha mimi situmii kopo la kanisani.Dogo mataco yako wewe choco,baba mtoto wako mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?
Shoga tafuta mabasha mimi situmii kopo la kanisani.Dogo mataco yako wewe choco,baba mtoto wako mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?
Vipi hiyo mimba yako wewe choco niya mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?Shoga tafuta mabasha mimi situmii kopo la kanisani.
Hahaha,hata yule mjuba wao Iran aliyewapa jeuri sasa yupo mezani huko Qatar anafanya mazungumzo na USA.
Umekosa soko nini, nimekuambia situmii mashoga wacha kupapasa mimi sio mkanisa.Vipi hiyo mimba yako wewe choco niya mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?
Yep. Iran ni mjanja sana. Amepima maji na unga halafu pia akaona kinachowapata vijana wake HAMAS, Hezbollah na Houthis akajisemea moyoni; mwe! cha kufia ni nini? Ngoja nikaongee kwani kuongea huwaga damu haimwagiki na wala majumba hayaporomoshwi.Hahaha,
Trump hacheki na kima, huyo Iran ameburuzwa hapo mezani kwa shuruti na maelekezo makali kuwa asipoelewa na kutekeleza kinachotakiwa kipondo cha haja kinamsubiri
Tulia upakatwe wewe shoga wa kiarabu mabwana zako wameshasambaratishwa kwa sasa
Waheshimiwa. Tunawaomba mkayamalize hapo nje - Msivuruge mada. Ni ombi lakini.Dogo mataco yako wewe choco,baba mtoto wako mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?
kuangusha serikali ni kitu cha kujisifia?HEZBULLAH wapo na wataendelea kuwepo we tulia utapata jibu mda sio mrefu kwamba Hezbullah ataingusha hio serekali ya Lebanon na Israel ataendelea kuchezea kichapo akijidai kugusa Lebanon
Vipi hiyo mimba yako wewe choco niya mlebanon au mpalestina? Mbona unakwepa ilo swali?
Umekosa soko nini, nimekuambia situmii mashoga wacha kupapasa mimi sio mkanisa.
Waheshimiwa; kwa heshima na taadhima tunawaomba mkayamalize hapo nje au wadau wenzangu mnasemaje? Tuendelee kusikiliza yaliyo nje ya mada?Shoga tafuta mabasha mimi situmii kopo la kanisani.

Ni sahihi kwamba Hezbollah kama kundi wanaweza wakaendelea kuwepo(ni ruksa)lakini watakuwa ni kundi au Chama kimojawapo kati ya vyama vya kisiasa vilivyopo nchini Lebanon na itakuwa ni marufuku kujihusisha na mambo ya kijeshi i.e. hawataruhusiwa kumiliki silaha au kuendesha mafunzo ya kijeshi, uchochezi -Harakati/Udini n.k. Watatakiwa kufuata Sheria na Taratibu za nchi kama ilivyo kwa vyama vingine ikiwa ni pamoja na kuepuka kupokea ufadhili kutoka nje ya mipaka ya nchi.HEZBULLAH wapo na wataendelea kuwepo we tulia utapata jibu mda sio mrefu kwamba Hezbullah ataingusha hio serekali ya Lebanon na Israel ataendelea kuchezea kichapo akijidai kugusa Lebanon
Ajabu iko wapi Qur'an ilisha toa jibu miaka 1446 ilio pita ilisema Wakristo na Majews hawezi kuwa radhi na nyie mpaa mfate mila na desturi zao.
Hakuna shida huyo kida kakosa soka anasumbuka sana 😄 🤣Waheshimiwa; kwa heshima na taadhima tunawaomba mkayamalize hapo nje au wadau wenzangu mnasemaje? Tuendelee kusikiliza yaliyo nje ya mada?![]()
Israel nani kakuambia hana shida na Lebanon hivi we uko dunia ipi? Israel alivamia Lebanon kabla ya kuwepo Hezbullah na Hezbullah imeanza bada ya Israel kutaka kuitawala South Lebanon na hapo ni ndoto.Ni sahihi kwamba Hezbollah kama kundi wanaweza wakaendelea kuwepo(ni ruksa)lakini watakuwa ni kundi au Chama kimojawapo kati ya vyama vya kisiasa vilivyopo nchini Lebanon na itakuwa ni marufuku kujihusisha na mambo ya kijeshi i.e. hawataruhusiwa kumiliki silaha au kuendesha mafunzo ya kijeshi, uchochezi -Harakati/Udini n.k. Watatakiwa kufuata Sheria na Taratibu za nchi kama ilivyo kwa vyama vingine ikiwa ni pamoja na kuepuka kupokea ufadhili kutoka nje ya mipaka ya nchi.
Je, hao Hezbollah; katika hali kama hiyo wataipinduaje/kuangusha nchi/Serikali? Israel atachezea kichapo kutoka kwa nani? Mbona Israeli atakuwa anazungumza kwa amani na Lebanon directly - kutakuwa hakuna bifu baina yao. Halafu kumbuka Israeli hana na wala hakuwa na shida na Lebanon. Shida ilikuwa ni kundi hilo la Hezbollah lililonunua au kuazima vita vya HAMAS na kujimilikisha kwa Ujinga wao tangu tar.08Okt.2023
Mkuu; Tunabishana kwa hoja zenye walau viashiria vichache kuonesha ukweli wa hoja:Israel nani kakuambia hana shida na Lebanon hivi we uko dunia ipi? Israel alivamia Lebanon kabla ya kuwepo Hezbullah na Hezbullah imeanza bada ya Israel kutaka kuitawala South Lebanon na hapo ni ndoto.
Nakupa tu infomation kuna kikundi kingine cha Hezbullah kimeisha anza huko Lebanon kinaitwa Al Mahdi Israel asahau kugusa Lebanon.
Afu pia Hezbullah hawezi kujiunga na jeshi la Lebanon watakao jiunga labda ni 1/3 tu.
Huyo sikawekwa na US lakini atapotezwa kama yule Bashir Al Jumail.Huyu rais wasasa wa Lebanon mkuda kishenzi ila yatamkuta ya Syria hawaijui unafiki wa Israel na US, Safi kabisa wacha yawakute
Toka zamani Hezbullah walikuwa nyuma ya mto Litani, lakini walipo amua kuwasaidia Hamas waliwambia UNIFIL waondoke pale mpakani.Mkuu; Tunabishana kwa hoja zenye walau viashiria vichache kuonesha ukweli wa hoja:
1. Kwa mfano iko wazi kwa sasa kwamba Hezbollah anapokonywa silaha. Hezbollah; kwa mujibu wa cease fire, wapo ng'ambo (Kaskazini)ya mto Litani.
2. Hakuna Taarifa ya Lebanon (kama nchi)kurusha maroketi au makombora dhidi ya Israeli tangu zamani bali ni Hezbollah ndo walikuwa wanarusha makombora dhidi ya Israeli.
3. Hicho kikundi unachokitaja cha Al Mahdi hakijajiweka hadharani na kuanza kuipinga au kupambana na Israeli walau hata kurusha jiwe dhidi ya Israeli. Wapo kimya.
4. Halafu kwamba Hezbollah hawezi kujiunga na jeshi la Lebanon; hatujawasikia au kusoma mahali kwamba ndivyo Hezbollah wamesema au itakavyokuwa. Bado hakuna Taarifa rasmi juu ya hilo. Hata hivyo haijawekwa wazi kwamba ni Sharti Hezbollah i.e. Hezbollah watalazimika wote - Ni kwa lamza)kujiunga na Jeshi rasmi la nchi ya Lebanon.
5. Hadi sasa hakuna viashiria vya Israeli au IDF kutaka au kujaribu kuchukua maeneo ya nchi ya Lebanon. Ni dhana tuu esp. ya Kobaaz - Waarabu wenye Itikadi kali ya Imani ya Kidini. Hakuna ushahidi wa hilo.
US anaota kama anavyo ota atawashinda Al Houth.Hezbollah zamu hii wamekamatika, na target namba moja ya serikali mpya ya Lebanon ni kumaliza ushawishi wa Hebollah. Mataifa ya magharibi yakiongozwa na US yanasema kigezo namba moja cha kuipa Lebanon misaada ijijenge upya ni kudhibti Hezbollah, kazi inaendelea
Tatizo sio wananchi ni viongozi hao wote viongozi ni mapuppets wa US na European. Hivi akili yako Egypt aamue kuingia vitani na Israel kwa sasa Israel atabaki pale.Wananiuzi jinsi wanavyokosa umoja hivi kweli wanashindwa kuungana na kupambana na Israel kataifa kadogo kama mkoa wa Morogoro na mwanza tu ndio unasumbua mataifa Yote DUNIANI poleni sana wafia DINI