Manispaa ya Beirut yaamru bendera zote za Hezbollah zilizotundikwa mjini zishushwe mara moja

Kijana unaongozwa na mahaba kwa magaidi ndo tatizo. Kwa hiyo pale Gaza ukiangalia Hamas wameshinda au wamechakazwa, pale Lebanon Hezbollah wako timamu au wamevurugwa? Na sasa hivi kuna wakati Israel anapiga posts zao ndani ya Lebanon Hezbollah hawajibu maana hawana tena namna. Au basi Houth wameshinda au kipigo wanakula cha ukweli. Uzuri televisheni ya wa Houth wenyewe ndo inaripoti wanavyopigwa wala si vyombo vya Magharibi. Western media wakiripoti wana quote television ya Houth

Hapa Iran tu ndo amebaki na anatakiwa atumie vizuri hii chance ya mazungumzo anayoendelea nayo na US. Makundi yake aliyokuwa anayategemea yote yamekuwa clipled! Na yeye asipofikia tangible deal ajue ni next kwenye list
 
Al Houth wanaonyesha vipi US anapiga civilians area badala ya Military target ๐Ÿ˜„

Lebanon ni serekali alijidai kuingia peace na Israel na Hezbullah si kama hawezi kurudisha amewapa mda hao serekali waonyeshe lini Israel aliheshimu mikataba yake. Hezbullah bado yupo strong nyie imbeni tu kwaya za kanisani.

Mimi kumbe bado kijana sio basi ngojea nikatafute malaya wakikristo sasa, nasikia kanisani wamejazana.
 
Ndoto za kikristo eti Hezbullah atasalimisha silaha zake.

Huyu katika viongozi wa Hezbullah anasema propoganda za US na israel, wakidai jeshi limevunja silaha zao, hizo ni habari za uwongo. Silaha zilio vunjwa na jeshi ni silaha alizo rusha Israel Lebanon wakati wa vita au silaha ambazo Hezbullah aliziwacha, zilio kwisha mda wake ambazo alizo kwisha zitumia.

Endeleni kuota Hezbullah bado iko bukheri kabisa.


View: https://youtu.be/v4rxj3K04to?si=ctW_OAy0tSUxEcq0
 
Toka zamani Hezbullah walikuwa nyuma ya mto Litani, lakini walipo amua kuwasaidia Hamas waliwambia UNIFIL waondoke

pale mpakani.

Hezbullah nani kakuambia amen'yangan'ywa silaha? Hizo habari mnazitolea wapi?
Sijasema Hezbollah amenyang'nywa silaha. Hebu rudia kusoma vizuri. Nimesema:".....kwa sasa Hezbollah anapokonywa silaha" (present continuous tense) Kuhusu nilikotoa hizi habari; Soma ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡

Paris on March 28.
Magali Cohen/Hans Lucas/AFP/Getty Images
CNN โ€”
Lebanese President Joseph Aoun said he hopes Iran-backed Hezbollah can be disarmed this year, following an Israeli military campaign that left the group decapitated and significantly weakened.........
โ€œWe want to withdraw Hezbollahโ€™s weapons, but we do not want to ignite a civil war,โ€ he said.
Hezbullah hawezi kuvunja silaha zake as long as Shia ndio wako kule Sourh Lebanon na kuna serekali ilio pandikizwa na US.
Mkuu; Shia ndo wamiliki wa Silaha za Hezbollah??? Kiongozi; mbona Unatuchanganyia mafaili?
 
Duh! Kweli akipenda chongo huita kengeza. Eti silaha zili-expire - ilhali huku vita inaendelea. Hii imekaaje mjomba?
 
Hezbullah bila ya Israel kuwachia ardhi na kurusha ndege zake Lebanon asahau Hezbullah kujiunga na jeshi na kuwapa silaha zao

Sharti la kwanza kuna ardhi inaitwa Mazraa Sheba alichukua tokea 1967 airudishe Lebanon, serekali iwajengee majumba wale walio vunjiwa majumba, Israel asisubutu tena kugusa Lebanon na hicho kitu bado sana.

Serekali ya Lebanon inapigwa pressure na US lakini haitaweza kutokea silaha za Hezbullah kuwakabidhi serekali bila masharti ya ceasefire kutimia.

Masharti Israel aondoke kwenye kila ardhi ya Lebanon, awache mchezo wa ku fly kwenye ardhi ya Lebanon au kuvamia ardhi ya Lebanon
 
Habari za hizbollah niulizwe Mimi, mbona mnarukaruka TU hapo juu? Sheikh Qassam kashasema silaha hatoi Hata Moja Kama wanazitaka waziangamize Kama wanaweza
 
Urgent | Hezbollah Secretary-General Naim Qassem addresses the occupation:

The opportunity we are giving to diplomacy is not open, we have other options and we fear nothing.

If you want to test us and continue to violate the agreement, then continue, and you will see our options at the appropriate time that we decide.

@ResistanceLounge
 
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ BREAKING: Al-Qassam Brigades have announced detonating a booby trapped tunnel entrance south of Khan Yunis, killing and wounding multiple jewish soldiers.

They also announced targeting and destroying 2 'D9' military bulldozers with 3 IEDs/high explosive devices.
 
๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง | Secretary General of Islamic Resistance in Lebanon (Hezbollah), His Eminence, Sheikh Naeem Qassem:



๐ŸŸก @NEWWORLDORDYR | Mirror Channel
 
Duh! Kweli akipenda chongo huita kengeza. Eti silaha zili-expire - ilhali huku vita inaendelea. Hii imekaaje mjomba?
Silaha zilizo tumiwa siku sema zilio expire. Nimesema walisha zitumia ama hazifai kutumiwa kwa sababu ziliharibika wakati wa vita au wameziona sio muhimu sana.

We kama unadhani kuna silaha hazi expire basi utakuwa mwehu kuna ndege zinaruka mfano wa Jaguar wengine wameziweka kwenye majumba ya kuhifadhi story (Museum) Nchi za Africa wataona bado muhimu sana hizo ndege.


Nenda nchi za kiarabu unakuta ndege ya kivita imewekwa kama vile show kuonyesha ile ni base ya ndege vita.
 
Mimi huwa nawambia hawa vilaza wa kanisani, Hezbollah yuko strong kuliko mnavyo dhania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ