- Thread starter
- #21
Yawezekana wewe ni mfanyabiashara au mtoa huduma hapo stand . Nakuombea kwa Mungu nafasi yako ibaki palepale hata stand itapohamishwa. Ili usiwe na wasiwasi.Mtoa mada hapo panatosha ilipo stand kwa sasa,mazingira ni rafiki kabisa ,stand ipo nje kabisa na mjini na msongamano hakuna pale.
stand ni pana na inatosha,mtoa mada kama una sababu zingine useme ,ila suala la kupeleka stand nelegani unataka watu waliwe na fisi wakiwahi usafiri?
Hilo haliwezekani ,hakuna changamoto zozote za kiutendaji katika maeneo ilipo stand kwa sasa.
Mtoa mada tafuta kivuli ukae kwanza, jua ni kali