Manispaa ya Shinyanga ihamishie stand kuu ya mabasi jirani na viwanja vilivyopimwa Nhelegani Mashariki ili kupanua mji

Yawezekana wewe ni mfanyabiashara au mtoa huduma hapo stand . Nakuombea kwa Mungu nafasi yako ibaki palepale hata stand itapohamishwa. Ili usiwe na wasiwasi.
 
Nani aliyewadanganya kwamba stendi lazima iwe porini ? Stendi inatakiwa iwe mjini.
 
Porini tu. Unaacha stendi iko barabara kuu upeleke uelekeo wa kinzumbi ? We vipi.
Kwa uelewa wako umeaminishwa barabara kuu haipiti kizumbi nhelegani? Inavyoonekana wewe ni mgeni na hauufahamu mji wa shinyanga. Kasome upya map ndio uje kubishana hapa. Karibu tena!
 
Kwa uelewa wako umeaminishwa barabara kuu haipiti kizumbi nhelegani? Inavyoonekana wewe ni mgeni na hauufahamu mji wa shinyanga. Kasome upya map ndio uje kubishana hapa. Karibu tena!
Pole sana. Shinyanga naifahamu kuliko wewe. Nimesoma Buhangija. Tangu lini barabara kuu ikapita Kizumbi ?
 
Pole sana. Shinyanga naifahamu kuliko wewe. Nimesoma Buhangija. Tangu lini barabara kuu ikapita Kizumbi ?
Kama umesoma kweli, basi aliyekusomesha hakufikiria vyema uamuzi wake kumsomesha mtu kama wewe kwa haya unayoyaandika hapa! Hivi una uelewa kweli kuhusu kata ya kizumbi na barabara kuu inayopita kizumbi? Usipende kujiaibisha bure mzee. Rudi darasani ukaisome upya Shinyanga.!
 
Utakuwa na kashamba huko maporini kwenye fisi unataka kutuuza sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…