Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

Mkuu Hiyo kashapangua case.hamna ishu hapo mkuu.
 
Serikali ipi unayoikusudia hapa!
Je ni hii hii iliyovunja mkataba na ile kampuni ya kanada?
wana Yanga naona mmejawa na hasira za jana. unajua manji angekuwa uraiani mngeshinda jana. halafu hata hamjamsaidia lolote tajiri yetu anahangaika peke yake tu. urafiki wenu upo tu uwanjani ila kwenye matatizo mnajifanya hammjui. poleni kwa kipigo cha jana hata hivyo niny ndala yeboyebo!
 
Pole sana maana najua hata mpirani hukweza kuingia yaani taifa na kama ungeingia usingekuwa unarohoja namana hiyo kamuulize Niyonzima atakwambia
 
kapendeza kawa kama mesi au wale ma actor wa holiwudi wakiwa kwenye misheni kule mehiko
 
Kweli kabisa mkuu, ndiyo maana serikali uwa haishindwi kesi hata moja!!!!!!!!!!!!!!! Bombadier kushilikiliwa ni wivu tu wala siyo maswala ya kushindwa kesi!!!!!!!!!!!!!!!!
tatizo lenu mmeshikilia kwamba siku zote serikali inashindwa kesi tuu, mnasahau kuwa kati ya kesi 100 serikali inaweza kushindwa 15 tu au 20 nazo kwa technicalities....nimeshakuwepo serikalini zamani kama prosecutor najua ninachoongea. ukitaka kujua kama serikali inashindwa kesi siku zote nenda gerezani, uone kama hamna watu.wale watu wooote wafungwa gerezani waulize kama serikali ilishindwa kesi au la, hadi magereza badala ya kukaa watu 700 wanakaa watu 2000 msongamano umekithiri kwasababu wafungwa wanaongezeka (ukiondoa mahabusu)...au mwulize askari magereza yeyote kama serikali siku zote huwa inashindwa kesi atakuambia...mahakamani kuna kushinda na kushindwa, na serikali imeshinda zaidi ya kushindwa...hivyo msiangalia upande mmoja tu. hata hivyo nimeamini Yanga yeboyebo bila manji hakuna kitu aisee, sawa na kumpeleka mtu mnene akaogelee au nyani aishi sehemu ambayo hakuna miti, ujanja wote kwishnei.
 
Pole sana maana najua hata mpirani hukweza kuingia yaani taifa na kama ungeingia usingekuwa unarohoja namana hiyo kamuulize Niyonzima atakwambia
mkuu sikwenda taifa, sipo dsm mimi, hiyo bongo tumewaachia wanaume wa daslamu.
 
Rudia maoni yangu nimesema unasema kweli serikali uwa haishindwi Kesi
 
Mwili mkubwa akili nukta(.) Mbona media zote zimeripoti vile,au ikiandikwa jamii forum ndio Sizonje atafura.Hawa watoto waliopatikana kwenye vyoo vya baa ni shida sana.
 
Tatizo la sheria ni complexity katika kuitafsiri Nakumbuka kesi ya Zombe ilivyoamriwa na kuacha midomo wazi watu wasiamini huku wakikubali hukumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…