Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

Kesi ya madawa alishapata dhamana iliyomweka ndani ni kesi ya kukutwa na sare za jeshi. Kikubwa tumwombee afya njema ipo siku atatoka.
Hata hiyo atashinda. Nchi haiongozwi kwa matamko, inaongozwa kwa sheria. Tunaambiwa yeye alikuwa mzabuni wa taasisi za serikali, na vitambaa vya sare vimekutwa kwenye bohari yake, kosa lake ni lipi?

Kinachomtafuna ni tamko la keko, ambalo siyo sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekosea hapo mwisho mengine yote ninakubaliana nawe. Hizo dawa ni jamii ya valium.
 
Mbona mtaani kwetu mateja wengi hakuna watu wakuwapima mkojo au mkojo wa Manji deal sana
 
Boss mwekundu Tofauti ya Bush Lawyer na Mwanasheria Msomi ni nini? Maana kila siku mnajipambanua na Majina Tofauti.

Tukirudi kwenye mjadala wako, ili suala ya Manji limekaa Ki Bashite Bashite sana. Ukiona Mwana CCM anashughulikiwa na Jamhuri aka Serikali ujue kuna jambo nyuma ya pazia.

Manji si tu Mwana CCM, pia ni Diwani, tena wa kuchaguliwa na Wananchi, pia ni MwanaYanga. Pia kaajiri Wananchi wengi tu.

Somewhere and Somehow katofautiana na Kibopa mmoja huko, si bure.

 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
ha ha ha
 
nilikuwa nawazingua hawa ndala najua kinawauma manji kuwa ndani, bila manji yeboyebo hawawezi kushinda hata wakiwekewa penati bila golikipa. kuna mtu atapiga nje tu.
 
we jamaa bana
 
Hivi akishinda watamsafishaje?????
Wana lengo, lisipofanikiwa watafungua lingine, mahakama inaweza mwachia huru na akatoka nje ya geti wakamkamata tena kwa kosa lingine. Tuna shida sana , Visasi anatoa Mungu pekee
 
Kesi ya uhujumu uchumi imekuwa ya kutumia madawa. Halafu kifungo chenyewe si ni miezi sita hata ukikutwa na hatia.

Muda aliokaa chini ya ulinzi tayari ata akikutwa na hatia si umesha cover hiyo prison sentence yenyewe ambapo mahakama inaweza mwachia huru huru siku hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…