Tetesi: Manji amesha punch case ya madawa ya kulevya tayari?

HV SERIKALI IMEWAHI KUSHINDA KESI? YANI UKIONA SERIKALI IMESHINDA KESI UJUE MHUSIKA HAJUI KUJITETEA.. MAANA KESI ZAO NYING HAWAFANY UCHUNGUZI WA KINA.. MADPP WAZEMBE WANAFANYA KAZ KWA HISIA BADALA YA UTAALAMU
 
Ukubwa wa mwili hauna uhusiano na ukubwa wa akili babu yangu, mara nyingi umekuwa unajisifu kuwa wewe ni akili kubwa kumbe si lolote wala si chochote, umeshindwa hata na watoto wadogo waliopewa uongozi kwenye chama na serikali, wewe pamoja na kuwa mtoto wa kigogo lakini hakuna anayekuamini hata kusimamia foleni ya watoto ya chakula.
stock-photo-a-bearded-old-man-shows-a-hand-something-small-big-332468792.jpg
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] watu mna maneno kuntu jamani. Dah umemtolea uvivu. KUNYWA PEPSI YA BARIDI KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.

Unajua watuhumiwa wa EPA kesi iliyofunguliwa na Serikali iliishia wapi?
TRA na yule Mafish unakumbuka kesi imeendaje hadi mwisho?
 
Hakuna kesi hapo.
Serikali imechemka.
Hawakuwa smart katika kutengeneza ushahidi na kufungua kesi.
Kesi za kibashite hizo.
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Serikali ipi Mkuu! Hii inayomkamata Lissu kila uchao au nyingine?
 
Kesi ya madawa alishapata dhamana iliyomweka ndani ni kesi ya kukutwa na sare za jeshi. Kikubwa tumwombee afya njema ipo siku atatoka.
Mkuu kesi inayomkabili ni TAJIRI
serikali yetu ilishasema wenye kuishi kama malaika,sasa wataishi Moroni.
Kwahio kunaitikadi kua ukiwabana matajiri UCHUMI ndio utapanda

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Mambo mengine bwana? Kisayansi Heroin ikingia mwilini ikimengenywa mengenywa na ini lazima kutokee a chemical change mpaka ije kufikia hatua ya Kidney kuiondoa kwenye system na kuipeleka kwenda kwenye kibofu cha mkojo itakuwa imebadirika na kuwa kitu kingine kabisa (i.e haiwezi kubaki ni Heroin iliyo changanyika na mkojo) wasitake kuzengua watu kwa kufikiri Watanzania ni mbumbu kivile.

Binafsi nimechukulia majibu ya Mkemia yana usanii wa aina fulani na hizi sio dalili nzuri hata kidogo, nani ambaye hajui chemical change kwenye mkojo zitaonyesha baadhi ya ingredients ambazo zilitumika ku-synthesize HEROIN zitaonekana zimebaki vile vile kutokana na baadhi ya ingredients zikashidwa ku-undergo chemical change. Inashangaza sana eti mkojo labda ni wa Polisi!! Mbona maswali hayo hayakuulizwa zilipo chukuliwa samples za Gwajima na Tundu Lissu wakakutwa hawana tatizo - binafsi nashauri waajiriwa waliopewa dhamana na Taifa letu kutimiza wajibu wao ni vizuri waheshimu ethics za kazi zao na sio kukalili movie scripts za Hollywood, wakumbuke vita dhidi ya madawa ya kulevya si vya kufanyiwa mchezo hata kidogo.
 
Sasa washauri vipi mkuu?...wapimwe damu au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
Ni kweli unachosema?
 
Namshauri Manji kama kesi yake atashinda, akitoka aje aifainansi chadema "ijijenge" zaidi.
 
Unajua watuhumiwa wa EPA kesi iliyofunguliwa na Serikali iliishia wapi?
TRA na yule Mafish unakumbuka kesi imeendaje hadi mwisho?
hapo ndo ujue we ni mjinga kabisa. epa walishafungwa sana, kwa wale wanaoenda kisutu mara nyingi tunawajua kina katiti na wenzake...tatizo mnafikiria kwa kupitia masaburi. sio vitu vyote serikali inashindwa......
 
acheni kuota ndoto. ukiona serikali imefungua kesi mahakamani na imeng'ang'ania kitu, ujue walishajiridhisha kabla hata hawajafungua. subiri uone.
kwa usemi wako huu ina maanisha hizo mabilioni tuyayolipa ujue serikali iling'ang'ania kulipa tu.....
 
Back
Top Bottom