Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Kunaweza kuwa na ukweli katika hilo.Lakini,nimeona wengi wanaozikwa huko(nchi walizofarikia) huwa ni wa dini ya kiislamu.Nikaelezwa sababu mojawapo ni kwamba,kwa taratibu za dini ya kiislamu,mtu akifariki anatakiwa kuzikwa siku hiyohiyo(kuna muda mchache wa kukaa na maiti)bila kujali nchi yake ya kuzaliwa.Na ninaamini yawezekana kukawa na sababu zingine.
Hii comment aione mtoa mada.

Halafu asikariri kwamba kila mtu nchi hii ni mjinga mjinga wengine wamekaa tu hawana cha kupoteza wala kuoambania.
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Ingependeza sana wewe mwenye elimu hiyo ungeitoa hapa jukwaani ili wengi wajifunze na sio kushangaa na kuonyesha kuwa ww una uelewa mkubwa sana upande huo wakati hutoi elimu na wengine waipate.

Uelewa wako huo unakua ni useless.
 
Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini

Nimejaribu kufuatilia sana kwa manirani zetu wa Kenya kwenye masndamano yao lakini sikuona Mhindi hata mmoja akiandamana kupinga muswada wa fedhana kodi.

Lakini pia sikuona askari Polisi Mhindi .
Niliona tu mwafrika na mwafrika wakipigana Risasi na kurushiana mawe na kuuana .
 
Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa
 
Sio sawa kushutumu juu ya uelewa wa watu kuhusu uraia. Mambo mengine ni tamaduni tu ambazo zimezoeleka.

Leo mchaga akifa dar ama popote anarudishwa kwao kilimanjaro kuzikwa. Same kwa mnyaki, mgogo, mpare, mhaya n.k.
Ingawa mara chache huwa sio hivyo lakin watu huwa wanahoji.
 
Huo ni ushamba , mwanakwetu wacha wafu wazike wafu wenzao ndio hii.
Sasa wewe unataka makaburi massfi ili ufanyie nini ?
Unadhani hiyo minyama inaweza kuja fufuliwa katika VVIP,VIP na Ordinary classes ??
I thank God to hold most of religion s in TZ does not support ibada za sanamu,
Hivi wewe unadhani kwamba daaa ngoja nitulie
Afrika huwa hatufi, ndio maana tunaendelea kuwasiliana na wafu, tubabadili makazi tu, na tukifika huko tunaitwa mizimu, na tunaongea na walio hai. Kama mzimu wako unaenda kuutupa jalalani, yatakayokukuta ni juu yako.

Ndio maana mnalia mashida mengi, mnaomba kazi hampati, kumbe ukifika kwenye interviews, mzimu unakuziba huonekani. Unafungua biashara, mzimu unakaa hapo dukani unapiga nuksi na kufukuza wateja mfano wa trafiki anavyoongoza magari. Watoto wako shuleni mzimu unawawekea uzito wa kuelewa masomo, mnakuwa na vita tu na mkeo kwa mzimu unaishi humo ili uwavuruge.

Mtume Mohamad, na mitume wengine hatukuwaacha kuwaimba hata baada ya kifo chao? Si unasema wafu wazike wafu wenzao?
 
Manji ni Muislam na Uislam unatufundisha na kutuhimiza mtu kuzikwa alipokufa, ndiyo mara chache sana utaona Waislam wakisafarishwa mbali kuzikwa.
Kama Manji ni Muislam mbona kazikwa na Sanduku badala ya kuzikwa na Sanda!!?
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Bila shaka uko sahihi watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga/uchawa kwa maana kifo cha m/nchi wakawaida hawaulizi kwann amezkwa sehem fulan lkn wtu maarufu wana maswali kemkem mm nililiona hilo kifo cha mzee mwinyi , hatupendi kuheshim mawazo ya familia ya marehm kuamua wp azikwe mpendwa wao.
 
Nimejaribu kufuatilia sana kwa manirani zetu wa Kenya kwenye masndamano yao lakini sikuona Mhindi hata mmoja akiandamana kupinga muswada wa fedhana kodi.

Lakini pia sikuona askari Polisi Mhindi .
Niliona tu mwafrika na mwafrika wakipigana Risasi na kurushiana mawe na kuuana .
Sisi tunawaonani wananzengo wenzetu ila mioyoni mwao wanajiona ni wapitaji tu hawana ile uzalendo wa kiafrica
 
Back
Top Bottom