MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,678
- 3,818
Hii comment aione mtoa mada.Kunaweza kuwa na ukweli katika hilo.Lakini,nimeona wengi wanaozikwa huko(nchi walizofarikia) huwa ni wa dini ya kiislamu.Nikaelezwa sababu mojawapo ni kwamba,kwa taratibu za dini ya kiislamu,mtu akifariki anatakiwa kuzikwa siku hiyohiyo(kuna muda mchache wa kukaa na maiti)bila kujali nchi yake ya kuzaliwa.Na ninaamini yawezekana kukawa na sababu zingine.
Halafu asikariri kwamba kila mtu nchi hii ni mjinga mjinga wengine wamekaa tu hawana cha kupoteza wala kuoambania.