Hii comment aione mtoa mada.Kunaweza kuwa na ukweli katika hilo.Lakini,nimeona wengi wanaozikwa huko(nchi walizofarikia) huwa ni wa dini ya kiislamu.Nikaelezwa sababu mojawapo ni kwamba,kwa taratibu za dini ya kiislamu,mtu akifariki anatakiwa kuzikwa siku hiyohiyo(kuna muda mchache wa kukaa na maiti)bila kujali nchi yake ya kuzaliwa.Na ninaamini yawezekana kukawa na sababu zingine.
Ingependeza sana wewe mwenye elimu hiyo ungeitoa hapa jukwaani ili wengi wajifunze na sio kushangaa na kuonyesha kuwa ww una uelewa mkubwa sana upande huo wakati hutoi elimu na wengine waipate.Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Umekua muungwana kwa kukubali kuwa sehem ya wajinga safi sanaSijakosea, mimi ni Mtanganyika, Utanzania nilipachikwa bila kuulizwa, sijaukana Uraia wangu wa Tanganyika.
Wajinga ni Watanzania.Umekua muungwana kwa kukubali kuwa sehem ya wajinga safi sana
Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
RipWajinga ni Watanzania.
Nilizaliwa Tanganyika, miaka mingi kabla nchi haijajawa ujinga wa kuwa Tanzania. Sema naishi na wajinga.
Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.Wana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Viziwi wenzake hawakusikia?Na ndio maana Chura alisema Katiba ni 'kijitabu' tu..
Afrika huwa hatufi, ndio maana tunaendelea kuwasiliana na wafu, tubabadili makazi tu, na tukifika huko tunaitwa mizimu, na tunaongea na walio hai. Kama mzimu wako unaenda kuutupa jalalani, yatakayokukuta ni juu yako.Huo ni ushamba , mwanakwetu wacha wafu wazike wafu wenzao ndio hii.
Sasa wewe unataka makaburi massfi ili ufanyie nini ?
Unadhani hiyo minyama inaweza kuja fufuliwa katika VVIP,VIP na Ordinary classes ??
I thank God to hold most of religion s in TZ does not support ibada za sanamu,
Hivi wewe unadhani kwamba daaa ngoja nitulie
Utasikia mabishano ya wabongo ... "Yanga ni kama Manchester city hakuna ubishi....." 😂😂😂😂😂Hahahahaha kwenye mpira bado pia hatujui lolote zaidi ya kubishana tu
Kama Manji ni Muislam mbona kazikwa na Sanduku badala ya kuzikwa na Sanda!!?Manji ni Muislam na Uislam unatufundisha na kutuhimiza mtu kuzikwa alipokufa, ndiyo mara chache sana utaona Waislam wakisafarishwa mbali kuzikwa.
YeahKwa hiyo unakiri kuwa shule umesomea ujinga?
Ulimuona ndni ya sanduku kavishwa nini?Kama Manji ni Muislam mbona kazikwa na Sanduku badala ya kuzikwa na Sanda!!?
Bila shaka uko sahihi watanzania wengi wanapenda sifa za kijinga/uchawa kwa maana kifo cha m/nchi wakawaida hawaulizi kwann amezkwa sehem fulan lkn wtu maarufu wana maswali kemkem mm nililiona hilo kifo cha mzee mwinyi , hatupendi kuheshim mawazo ya familia ya marehm kuamua wp azikwe mpendwa wao.Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Who is rais wa Iran katika Uislam?RAis wa iran juzijuzi kafa jumapili kazikwa jumatano nadhani unakumbuka ile ajali ya helicopter
Iran islamic state,kule ndio uislamuni kwenyewe,huku kwetu uislam uliletwa na nashuaWho is rais wa Iran katika Uislam?
Uko sahihi mkuuWaziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa
Sisi tunawaonani wananzengo wenzetu ila mioyoni mwao wanajiona ni wapitaji tu hawana ile uzalendo wa kiafricaNimejaribu kufuatilia sana kwa manirani zetu wa Kenya kwenye masndamano yao lakini sikuona Mhindi hata mmoja akiandamana kupinga muswada wa fedhana kodi.
Lakini pia sikuona askari Polisi Mhindi .
Niliona tu mwafrika na mwafrika wakipigana Risasi na kurushiana mawe na kuuana .