Uzikwe popote pale, kinachobaki ni amali yako siyo mwili wako umezikwa wapi.Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa
SutiUlimuona ndni ya sanduku kavishwa nini?
Na hao ndo wanaotucjelewesha katika mabadilikoNa safari yenyewe majanga mwanzo mwisho tukiimaliza tutakuwa tumechoka sana
Acha ushirikina wew koo tunatofautianaAfrika huwa hatufi, ndio maana tunaendelea kuwasiliana na wafu, tubabadili makazi tu, na tukifika huko tunaitwa mizimu, na tunaongea na walio hai. Kama mzimu wako unaenda kuutupa jalalani, yatakayokukuta ni juu yako.
Ndio maana mnalia mashida mengi, mnaomba kazi hampati, kumbe ukifika kwenye interviews, mzimu unakuziba huonekani. Unafungua biashara, mzimu unakaa hapo dukani unapiga nuksi na kufukuza wateja mfano wa trafiki anavyoongoza magari. Watoto wako shuleni mzimu unawawekea uzito wa kuelewa masomo, mnakuwa na vita tu na mkeo kwa mzimu unaishi humo ili uwavuruge.
Mtume Mohamad, na mitume wengine hatukuwaacha kuwaimba hata baada ya kifo chao? Si unasema wafu wazike wafu wenzao?
😂Kwa sababu ni wajinga
Muasisi wa ujinga wa Mtanzania ni CCM.Sasa mtanielewa ninaposema mara kwa mara kuwa adui mkubwa ya Watanzania ni ujinga. Watanzania bado ni wajinga sana tena sana..
Shule zetu ni za kusomesha ujinga.
Nyerere alisema adui yetu ni ujinga, hiyo kabla hata CCM haijakuwepo.Muasisi wa ujinga wa Mtanzania ni CCM.
Mlezi wa ujinga huo ni CCM.
Mnufaika wa ujinga wa Mtanzania ni CCM.
Kweli sisi Watanzania bado ni wajinga sana tena sana.
Tunawezaje kuiacha CCM iendelee "kulijingisha" Taifa kila iitwayo leo!!???
Alifia London na kwa hoja yako akazikwa makabuti ya Abney ParkNyerere kafia wapi?
Sema kweli bana, alifia london akbanikwa akaja kuzikwa bongo.Alifia London na kwa hoja yako akazikwa makabuti ya Abney Park
Acha ubaguzi mkuu, haukusaidii kituWana hoja wahindi wengi sio wazalendo,wako huku kuchuma tu ila wana passport au nasaba ,mapenzi na nchi zingine,wahindi sio watu wa kuwaamini
Jifunze Wamasai wamekuwa wanazikaje kwa mamia ya miaka,Lakini kivyovyote vile, ukweli ni kwamba kuzikwa nje ya nyumbani kunaleta maswali kuliko kuzikwa nyumbani. Kuzikwa nyumbani is always natural to human being while kuzikwa nje ya nyumbani ni unnatural.
Watu kujiuliza maswali kwanini mtu amezikwa nje ya nyumbani kwake sio ujinga, kwa sababu Kuzikwa nje ya nyumbani ni option namba mbili katika mipango ya mazishi ambapo lazima huambatana na sababu Fulani ya msingi, ambayo kwayo watu hujiuliza why!!
Nawasifu wahindi Kwa kufanya Hilo, hawana sababu yeyote ya kuwaamini wale wezi wa CCM ambao kazi yao kubwa ni wizi tuu na matumbo yao
Uhusiano wa kuzikwa inchi husika na uraia wa marehemu upo sana tu.
Ndy maana balozi zinahusishwa..
Huwezi kuzika raia wa inchi husika bila balozi kujulishwa,
Je Manji alipofariki kuna taarifa zilipekwa ubalozi wa Tanzania kujulishwa kuhusu kifo chake?
Kama haukuhusishwa basi Manji hakuwa Mtanzania,,
Tusipepese macho.
Sisi tunawaonani wananzengo wenzetu ila mioyoni mwao wanajiona ni wapitaji tu hawana ile uzalendo wa kiafrica
Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa