Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa
Uzikwe popote pale, kinachobaki ni amali yako siyo mwili wako umezikwa wapi.

Nyerere kafia wapi?
 
Afrika huwa hatufi, ndio maana tunaendelea kuwasiliana na wafu, tubabadili makazi tu, na tukifika huko tunaitwa mizimu, na tunaongea na walio hai. Kama mzimu wako unaenda kuutupa jalalani, yatakayokukuta ni juu yako.

Ndio maana mnalia mashida mengi, mnaomba kazi hampati, kumbe ukifika kwenye interviews, mzimu unakuziba huonekani. Unafungua biashara, mzimu unakaa hapo dukani unapiga nuksi na kufukuza wateja mfano wa trafiki anavyoongoza magari. Watoto wako shuleni mzimu unawawekea uzito wa kuelewa masomo, mnakuwa na vita tu na mkeo kwa mzimu unaishi humo ili uwavuruge.

Mtume Mohamad, na mitume wengine hatukuwaacha kuwaimba hata baada ya kifo chao? Si unasema wafu wazike wafu wenzao?
Acha ushirikina wew koo tunatofautiana
 
Sasa mtanielewa ninaposema mara kwa mara kuwa adui mkubwa ya Watanzania ni ujinga. Watanzania bado ni wajinga sana tena sana..

Shule zetu ni za kusomesha ujinga.
Muasisi wa ujinga wa Mtanzania ni CCM.
Mlezi wa ujinga huo ni CCM.
Mnufaika wa ujinga wa Mtanzania ni CCM.
Kweli sisi Watanzania bado ni wajinga sana tena sana.
Tunawezaje kuiacha CCM iendelee "kulijingisha" Taifa kila iitwayo leo!!???
 
Nyerere alisema adui yetu ni ujinga, hiyo kabla hata CCM haijakuwepo.

Ujinga wa Mtanzania upo kwenye genes zake.
 
Kuwashangaa raia walioshangaa Manji kuzikwa Marekani ni Ujinga mwingine!

Kwamba haujui Hali ya utamaduni ya Taifa, Hali ya Elimu ya Raia, Aina ya Elimu inayotolewa Tanzania, vipaumbele vya maisha ya watu wa Tanzania!

Lakini kivyovyote vile, ukweli ni kwamba kuzikwa nje ya nyumbani kunaleta maswali kuliko kuzikwa nyumbani. Kuzikwa nyumbani is always natural to human being while kuzikwa nje ya nyumbani ni unnatural.

Watu kujiuliza maswali kwanini mtu amezikwa nje ya nyumbani kwake sio ujinga, kwa sababu Kuzikwa nje ya nyumbani ni option namba mbili katika mipango ya mazishi ambapo lazima huambatana na sababu Fulani ya msingi, ambayo kwayo watu hujiuliza why!!
 
Jifunze Wamasai wamekuwa wanazikaje kwa mamia ya miaka,
Jifunze Wahindu wamekuwa wanawafanyia nini marehemu kwa maelfu ya miaka.
Wahindi, Wazungu na Waarabu walioko hapa Tanzania nyumbani kwao ni wapi?
Wakimbizi wa Rwanda, Burundi na DRC waliopewa uraia wa Tanzania nyumbani kwao ni wapi?
Kibu Denis nyumbani kwake ni wapi?
Bongozozo nyumbani kwake ni wapi?
Watoto wa Lissu waliozaliwa Marekani nyumbani kwao ni wapi?
Wapemba waliojaa na kuweka Makazi nyumbani kwao ni wapi?
Mapadri na Maaskofu wa Kikatoliki nyumbani kwao ni wapi?
 
Uhusiano wa kuzikwa inchi husika na uraia wa marehemu upo sana tu.
Ndy maana balozi zinahusishwa..
Huwezi kuzika raia wa inchi husika bila balozi kujulishwa,

Je Manji alipofariki kuna taarifa zilipekwa ubalozi wa Tanzania kujulishwa kuhusu kifo chake?

Kama haukuhusishwa basi Manji hakuwa Mtanzania,,

Tusipepese macho.

kwahiyo wewe unatwambia kuwa Taarifa hazijapelekwa huko Unoalozi? umepata wapi hizo habari mkuu
 
Waziri wa Fedha enzi za Nyerere Jamal Amir naye aliamua kuzikwa Canada. Huku wao wanaona ni mashambani tu kwa kuchuma.
Makazi yao ni huko Ulaya na America ndiyo maana wakifa hawazikwi hapa labda wale masikini kabisa

kwanini munakuwa wajinga kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom