mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
RAis wa iran juzijuzi kafa jumapili kazikwa jumatano nadhani unakumbuka ile ajali ya helicopterKunaweza kuwa na ukweli katika hilo.Lakini,nimeona wengi wanaozikwa huko(nchi walizofarikia) huwa ni wa dini ya kiislamu.Nikaelezwa sababu mojawapo ni kwamba,kwa taratibu za dini ya kiislamu,mtu akifariki anatakiwa kuzikwa siku hiyohiyo(kuna muda mchache wa kukaa na maiti)bila kujali nchi yake ya kuzaliwa.Na ninaamini yawezekana kukawa na sababu zingine.