Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

Sasa hapo ni case kubwa sababu hii ishu ya (elimu ya uraia)ni inabidi ujue kiundani na uelew wabongo kuelewa aaah ila ujuaji mwingi umangu kibwena mm nlkuw sjui marehem raia wa nchi gan ametangulia mbele za hak bas mwenyez mungu ampokee na ss twaja .
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Kwani Marehemu ni raia wa wapi
 
Ukiwa hai ni nongwa ukifa na kuzikwa ni nongwa pia!. Tujaribu kuvaa viatu vyake haswa miaka ile alipoteswa na mfumo mzima.
 
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.

Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!

Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!

Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
mie nimekazan kusoma paka mwisho nikajua braza unawapa elim kumbe unachamba tu na kusimanga ujatoa msada oote waijue elim ya uraia kifup kaka ukion kazikwa uko ana raia 2 alikua au aliukana uraia wa tz akachukua wa marekan cz ni bilionea kupat uraia marekan sio ishu ukiw tajir angekua kayumba angesafirishwa asingezikwa kule ili kesho ndugu mkasmbue ubaroz kuomba viza kwa kigezo cha kwenda kuvisit kabur mbongo afie sauz tu anasafirishwa auna conection viungo vnachangia hosptal vle vzima unakua toy lakusomea madaktar wa upasuaj ukichoka kabis unaend kupgwa kiberit
 
Uhusiano wa kuzikwa inchi husika na uraia wa marehemu upo sana tu.
Ndy maana balozi zinahusishwa..
Huwezi kuzika raia wa inchi husika bila balozi kujulishwa,

Je Manji alipofariki kuna taarifa zilipekwa ubalozi wa Tanzania kujulishwa kuhusu kifo chake?

Kama haukuhusishwa basi Manji hakuwa Mtanzania,,

Tusipepese macho.
Ntaeleza kwa ufupi sana.

Yusuf Manji alikuwa na uraia wa Marekani na pia alibeba pasi ya kusafiria ya TZ. Hii ipo na sina haja ya kuilezea sana maana wengi wafanya hii kitu.

Hata Tundu Lissu nae ana pasi mbili ya Ubelgiji na ya Tanzania na abeba zote akisafiri.

Pili, baba yake Yusuf Manji Yusufali alikuwa ni raia wa Marekani ambako alienda kitambo sana na ana mali zake na familia yao karibu yote ipo huko na wali-settle sehemu ya Orlando Florida.

Huyo mtoto wake Mehbub nae huenda ana pasi mbili yaani ile ya Green Card na ya TZ ni kawaida kwani Green Card ni kwa permanent residency uraia wa kudumu.

Ukiwa ughaibuni na una uwezo waweza kununua eneo (kipande) kwenye makaburi ili siku ikifika wazikwa hukohuko juu kwa juu. Yusuf Manji amezikwa kwenye makaburi ya familia ya Manji karibu na alipolala baba yake Yusufali.

Huyo Mehbub nae Mungu akimchukua, ana kaburi lake tayari.

Kwahiyo suala hili si gumu kulielewa, ukiwa nje ya nchi na una makazi ya kudumu waweza kuamua kuzikwa hukohuko ili familia yako iwe na urahisi wa kufagia kaburi.
 
Kwani Marehemu ni raia wa wapi

..nimesikia kwamba Baba yake Yussuf Manji naye amezikwa Florida, USA.

..kuna tajiri mwingine wa Kiasia hapa nchini nimemsikia akisema Baba yake anaishi Afrika Kusini.

..ninachoweza kusema ni kuna matajiri ambao umri umekwenda wamelazimika kuishi nje ya Tanzania kufuata huduma bora za afya huko nje.

..kwenye nchi za wenzetu huduma za sio bora tu, bali ni za haraka haswa kunapotokea dharura.

..kwa Tanzania mtu akipatwa na dharura ya kiafya uwezekano mkubwa atafia njiani kutokana na changamoto ya ambulances na msongamano ktk mabarabara yetu.
 
..watu pia watofautishe passport na uraia.

..passport ni hati ya usafiri tu, ambayo hutolewa na serikali husika.

..kuwa na passport ya nchi fulani haimaanishi mhusika ni raia wa nchi uliyotoa passport.

..kuna watu wengi wamewahi kusafiri na passport za Tanzania wakati wao si raia wa Tanzania.

..kwa mfano, kuna kipindi Nelson Mandela, Thabo Mbeki, Yoweri Museveni, Raila Odinga, na wengine, walitumia passport za Tanzania kusafiri kwenda nchi mbalimbali.

..Passport sio Uraia.
 
..nimesikia kwamba Baba yake Yussuf Manji naye amezikwa Florida, USA.

..kuna tajiri mwingine wa Kiasia hapa nchini nimemsikia akisema Baba yake anaishi Afrika Kusini.

..ninachoweza kusema ni kuna matajiri ambao umri umekwenda wamelazimika kuishi nje ya Tanzania kufuata huduma bora za afya huko nje.

..kwenye nchi za wenzetu huduma za sio bora tu, bali ni za haraka haswa kunapotokea dharura.

..kwa Tanzania mtu akipatwa na dharura ya kiafya uwezekano mkubwa atafia njiani kutokana na changamoto ya ambulances na msongamano ktk mabarabara yetu.
Ughaibuni gari ya wagonjwa lina target ya dakika 7 liwe limekufikia kwa maeneo ya mijini.

Vijijini ni dakika 14.

Ila kama si dharura ambulance yaweza kukufikia dakika 20 au zaidi ya saa 2.
 
Back
Top Bottom