Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Marehemu ni raia wa wapiNimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Ujinga wangu uko wapi?kwanini munakuwa wajinga kiasi hicho?
Ujinga wangu uko wapi?
Ukiwa hai ni nongwa ukifa na kuzikwa ni nongwa pia!. Tujaribu kuvaa viatu vyake haswa miaka ile alipoteswa na mfumo mzima.Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
FloridaHuyu jamaa baba yake alizikwa canada
Wanapoteswa na mfumo wa nchi kwa chuki za kipumbavu eti wabakie tu na wakubali kuendelea kuteseka!, hizi akili ni mfano wa roho mbaya ya kiafrika.Manji hawezi kuwa mtanzania hapa ni sehemu tu yakuchumia hela, kikinuka huwa wananchi zao za kupumzikia na kula utajiri waliouchuna polepole.
Wapi nimewashutumu?kuna wizi wabaya kabisa zaidi ya watu weusi kwenye hii nchi? kwanini huwa mnashutuma kwa wahindi na waarabu?
acheni ubaguzi
Duh! Nimechekaa sana baada ya kukumbuka zile nguo za enzi za kina Yesu! Hahaaaa!Thubutu.
Hata Yesu hajazikwa na suti.
mie nimekazan kusoma paka mwisho nikajua braza unawapa elim kumbe unachamba tu na kusimanga ujatoa msada oote waijue elim ya uraia kifup kaka ukion kazikwa uko ana raia 2 alikua au aliukana uraia wa tz akachukua wa marekan cz ni bilionea kupat uraia marekan sio ishu ukiw tajir angekua kayumba angesafirishwa asingezikwa kule ili kesho ndugu mkasmbue ubaroz kuomba viza kwa kigezo cha kwenda kuvisit kabur mbongo afie sauz tu anasafirishwa auna conection viungo vnachangia hosptal vle vzima unakua toy lakusomea madaktar wa upasuaj ukichoka kabis unaend kupgwa kiberitNimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi.
Wengi katika ukurasa huo wameshangazwa sana na kuuliza maswali kwamba kumbe Manji hakuwa Mtanzania?! Yani tuna raia wengi wanaojua kwamba Mtanzania hawezi kuzikwa nje ya Tanzania akifariki! Kwamba kigezo kimojawapo cha kuthibitisha Utanzania wako ni kuzikiwa katika ardhi ya Tanzania!
Sasa kama mtu amefikia kumiliki smartphone na hajui hata vigezo vya uraia wa nchi yake hao wengine watakuwa anafahamu nini katika masuala ya haki za uraia na mambo mazito ya katiba kwa ujumla?!
Itoshe kusema tuna safari ndefu kama nchi kuhusu katiba na elimu ya uraia.
Ni Raia wa Tanzania [emoji1241], mwenye resident permit ya USA [emoji631] ! Swali lingine!!??Kwani Marehemu ni raia wa wapi
Ok thanks for information hawa ngozi nyeupe wa kiarabu na kihindi wanachuma fedha africa wanazitumia africa ila wakifa wanaenda zikwa nje.Florida
Ntaeleza kwa ufupi sana.Uhusiano wa kuzikwa inchi husika na uraia wa marehemu upo sana tu.
Ndy maana balozi zinahusishwa..
Huwezi kuzika raia wa inchi husika bila balozi kujulishwa,
Je Manji alipofariki kuna taarifa zilipekwa ubalozi wa Tanzania kujulishwa kuhusu kifo chake?
Kama haukuhusishwa basi Manji hakuwa Mtanzania,,
Tusipepese macho.
Kwani Marehemu ni raia wa wapi
Ntaeleza kwa ufupi sana.
Yusuf Manji alikuwa na uraia wa Marekani na pia alibeba pasi ya kusafiria ya TZ. Hii ipo na sina haja ya kuilezea sana maana wengi wafanya hii kitu.
Hata Tundu Lissu nae ana pasi mbili ya Ubelgiji na ya Tanzania na abeba zote akisafiri.
Pili, baba yake Yusuf Manji Yusufali alikuwa ni raia wa Marekani ambako alienda kitambo sana na ana mali zake na familia yao karibu yote ipo huko na wali-settle sehemu ya Orlando Florida.
Huyo mtoto wake Mehbub nae huenda ana pasi mbili yaani ile ya Green Card na ya TZ ni kawaida kwani Green Card ni kwa permanent residency uraia wa kudumu.
Ukiwa ughaibuni na una uwezo waweza kununua eneo (kipande) kwenye makaburi ili siku ikifika wazikwa hukohuko juu kwa juu. Yusuf Manji amezikwa kwenye makaburi ya familia ya Manji karibu na alipolala baba yake Yusufali.
Huyo Mehbub nae Mungu akimchukua, ana kaburi lake tayari.
Kwahiyo suala hili si gumu kulielewa, ukiwa nje ya nchi na una makazi ya kudumu waweza kuamua kuzikwa hukohuko ili familia yako iwe na urahisi wa kufagia kaburi.
Ughaibuni gari ya wagonjwa lina target ya dakika 7 liwe limekufikia kwa maeneo ya mijini...nimesikia kwamba Baba yake Yussuf Manji naye amezikwa Florida, USA.
..kuna tajiri mwingine wa Kiasia hapa nchini nimemsikia akisema Baba yake anaishi Afrika Kusini.
..ninachoweza kusema ni kuna matajiri ambao umri umekwenda wamelazimika kuishi nje ya Tanzania kufuata huduma bora za afya huko nje.
..kwenye nchi za wenzetu huduma za sio bora tu, bali ni za haraka haswa kunapotokea dharura.
..kwa Tanzania mtu akipatwa na dharura ya kiafya uwezekano mkubwa atafia njiani kutokana na changamoto ya ambulances na msongamano ktk mabarabara yetu.