falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #181
kuumwa mbavu si kweli labda kama unamwili lain tipwatipwa mafuta mengiHivi manual transmission ni pamoja na leyland cd unanyonga usuka mbaka mbavu zinauma
huyo jamaa yuko timamu kweli, lini kaona auto zikiwahi kuchanganyaHuwezi kuwa serious, auto inawahi kuchanganya kuliko manual? Hebu nenda kwenye rally yeyote unioneshe gari ya automatic!
bro acha ubishi utaonekana bado lena, sikuzote manual inawahi kuchanganya hata manufacture wanajua hiloachana na magari ya rally brother maana hayapo sawa na gari zetu hizi za kawaida ndio maana sio kila gari inashiriki!!
chukua homework 50miters weka defender hapo weka harrier hapo unahisi hadi unamaliza hizo mita difenda itamaliza na speed kiasi gani na harrier speed kiasi gani?
huhuhuhuhu umetisha mkuu, leyland umeacha kuendeshaMe similiki gari,huwa naendeshaga tu zile nissan patrol na mara chache sana iveco
na ukipewa unaweza usiendeshe jinsi ulivyo mvivuMara ya mwisho kuendesha manual ni wakati nipo driving school miaka hiyo,
Ni mwendo wa Automatic tu na sijui kama ipo siku nitaendesha manual tena labda iwe gari ya mtu nidowee kwa muda
gari ndogo ikiwa manual ndio tamu sasa ukizingatia ndii raha ya gari unaiona, yaani unafeel kwelikweli unaendesha gariKwa magari makubwa kama Nissan na Land Cruiser Manual ndio safi sanaa S ila gari ndogo zote Automatic Transmission is ok.
Labda subarugari ndogo ikiwa manual ndio tamu sasa ukizingatia ndii raha ya gari unaiona, yaani unafeel kwelikweli unaendesha gari
sio ubishi brother kwa nn usjaribu hiyo quiz apo juu? au ushawah kujaribu?bro acha ubishi utaonekana bado lena, sikuzote manual inawahi kuchanganya hata manufacture wanajua hilo
ist toleo la kwanza manual zipo 5speed labda we hujaonahalafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu
HahahaaaaaNaipenda manual kwa sababu huwa siazimwi pale oficn, kila anaekuja kuazima nampa funguo tu, anairudisha mwenyewe.
Hahahaha manual ni kama kituo cha polisi siku hiziNaipenda manual kwa sababu huwa siazimwi pale oficn, kila anaekuja kuazima nampa funguo tu, anairudisha mwenyewe.
anashindana na wakatihuyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
Acha kuendesha uchafu.Hii ndio manual halisi. Ukila chips lazima ukimbie gari.View attachment 954332
Aaah Manual ukiendesha unapata raha ya gari.Acha kuendesha uchafu.