Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Gari ndogo zipo mkuu lkn ist sijaona!ila kuna toyota probox manual zipo ambazo injini yake yafanana na ya ist.halafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu
Nashkur kwa kumuelewesha mkuu, hvo ndivyo nlivokua namaanisha. Kuhusu kuondokea gia namba ngapi, iko hvi. Nilivopanda hyo gar pale kwenye gia kuna kma kimtambo glan kimefungwa, afu hcho kimtambo kina vigia vingine vi2. Wakat anafanya huo mchezo waku-accelerate more speed in few second nliona akitumia hvo vigia vilivo kwenye kimtambo. Kisha baada ya gar kua kwenye kasi kubwa anaanza kutumia ile gia yakawaida. Kwa maelezo yke jamaa anasema kile kimtambo ni booster tu.Nafikiri alimaanisha acceleration, from 0 to 180km/h in 3secs.... uwezo wa gari kugain speed ndani ya muda mfupi, hii unaweza kunote pale mnapopunguza mwendo kwenye tuta, baada ya hapo mwenzio anakuacha kama vile umesimama....Ila kwa hizo data sijui unaondokea gia namba ngapi....
OK nimekupata, inawezekana mambo ya teknolojiaNashkur kwa kumuelewesha mkuu, hvo ndivyo nlivokua namaanisha. Kuhusu kuondokea gia namba ngapi, iko hvi. Nilivopanda hyo gar pale kwenye gia kuna kma kimtambo glan kimefungwa, afu hcho kimtambo kina vigia vingine vi2. Wakat anafanya huo mchezo waku-accelerate more speed in few second nliona akitumia hvo vigia vilivo kwenye kimtambo. Kisha baada ya gar kua kwenye kasi kubwa anaanza kutumia ile gia yakawaida. Kwa maelezo yke jamaa anasema kile kimtambo ni booster tu.
Mkuu, hyo ni sekunde tatu tu. Na wala dereva hapotezi mwelekeo, usichukulie kma gar yakawaida, kuna vitu vingi vimeongezwa pale binafsi siwez kuvieleza vyote. Ni sekunde 3 mkuu, si dakika..OK nimekupata, inawezekana mambo ya teknolojia
Ishu yangu hapo ni kuhusu hizo sekunde tatu...yaani ukihesabu moja... mbili...tatu...gari iliyokuwa imesimama sasa ipo kwenye speed 180 (odometer inasoma 180km/h)....na hizo process ulizoelezea....au labda ni dakika tatu
bora useme wewe manual ndio gari haswa ndio maana hata bei zake ziko juuAcha kujidanganya na kujiweka kwenye fungu la wajinga Dereva mzuri ni yule anaeendesha gari zote kwa makini na kanuni zote za usalama barabarani hakuna Dereva wa automatic zile ni gari za walemavu wazima tunaendesha tu kwa kuwa ndiyo zipo Gari ya Dereva ni manual tu
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
gari ni moja ila bei zinapishana sababu ya gear, auto bei chini manual bei juuMT is the best, hata raha ya kuendesha unaipata. AT ni kama umewekwa robot tu.
madereva wa auto watakuvaa sasa hiviYani mimi napenda sana manual,naona na drive kweli..auto sizikubali kabisaa
Gari zpo manual ila bei yake n juu kulinganisha na automatic.. Na pia nwdays watu hawapend manual ndio mana nyng unakuta n automatic hawapend usumbufu[emoji622]
mimi niliona toyota platz manual inauzwa mtandaoni iko japanNiletee IST manual hata kwa milion 60 natoa.???
mimi niliona toyota platz manual inauzwa mtandaoni iko japan
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dahkwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,
Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.
Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.
Real men use three pedal
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dah
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dah
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Mkuu sidhani kama upo sahihi hiyo gari kufika 180kph in 3sec ni UONGO labda kama unataka kusema hiyo ni super car. Bugatti chiron inafika 100kph in 2.5 sec halafu hiyo ifike 180kph in 3 sec....????hapanaNashkur kwa kumuelewesha mkuu, hvo ndivyo nlivokua namaanisha. Kuhusu kuondokea gia namba ngapi, iko hvi. Nilivopanda hyo gar pale kwenye gia kuna kma kimtambo glan kimefungwa, afu hcho kimtambo kina vigia vingine vi2. Wakat anafanya huo mchezo waku-accelerate more speed in few second nliona akitumia hvo vigia vilivo kwenye kimtambo. Kisha baada ya gar kua kwenye kasi kubwa anaanza kutumia ile gia yakawaida. Kwa maelezo yke jamaa anasema kile kimtambo ni booster tu.