Manual na Automatic

Ni kwel mkuu gar.ys manual ndo gar.haswa ht ukiwa unaendesha long trip huwez sinzia ovyo ovyo maana mkono na mguu uko attention..ila hiz automatic ukinyoosha tu mguu na km road yenyewe lain unaweza ht kusinzia ..siku iz had truck ni automatic yan daah wataendesha hadi wanawake sasa hiz.truck
 
Mkuu tuache mazoea,,je ndege ni manual?manual ishapitwa nawakati now faiz ni auto ,,kama ndrge na train

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine manual afu upate turbo au super charger hahaa ..kata funua za mafinga zile mbn utaipenda tu..ila kwel mkuu automatic wawachie walemavu na wanawake tu wa trip town..
Manual ni gar ndomana ht bei zake inankuwa.juu.tofaut na automatic
 
ww kweli chizi maarifa mapovu yanakutoka wakati gari unaendesha DSM mitaani tu. uliza Madereva wanaume wanaopiga fimbo Dar - Kigali au Bujumbura, Dar - Lubumbashi, Dar - Lusaka waulize. Gari auto ukitoka nayo mchana hufiki hata Mikese utaanza kusinzia, lkn muziki wa Manual usisikie waweza anzia gia hata 2 ukarukia 5 wakati Auto asilani huwezi ni michosho tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha
 
Yani mzungu ashaweka mambo simple bado nijifunze manual ili iweje, hata simu kama mnakumbuka miaka ya tisini na elfu mbili mwanzoni yale ma TTCL unazungusha mara mia ndio upige so what. Let us develop niggaz, hapa mi D, P, R, zinahusika. Gari sio gua gari ni kontroooo
 
Mwenyewe nilikua kma ww, nilibisha sana hdi kufikia hatua kuwekeanadau. Ila mwisho wasiku nilisalimu amri, nolijionea kwamacho yangu.

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Mimi naweka hata mke wangu rehani boss, clocking 180 in just 3sec ni uongo wa mwisho tena kwa hilo kabati.......hiyo gari ni body tuu imetengenezwa na wale jamaa wa CAPITAL ZONE wa arusha hata iwe na engine ya 300TDI, 200TDI or PUMA au hata V8 haiwezi fika hyo speed kwa muda mfupi namna hyo.....asee hyo ni sifa ya supercars mzee.....achana na story za vijiweni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm kuendesha gar ya Cc 900 manual sisikii raha utamu upo kweny 1Hz na gari kubwa kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izi gari ndogo cc 900 ata ikiwa manual laha akuna upate injini kubwa manual unavunja miwa tu injin inaitika unasikia vilivyo unaona kwel unapiga gia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa three pedals ndo mpango c unaona STK zile wanaume mwendo wa gia tu hamia uku mkuu chama cha kuvunja miwa[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashine manual afu upate turbo au super charger hahaa ..kata funua za mafinga zile mbn utaipenda tu..ila kwel mkuu automatic wawachie walemavu na wanawake tu wa trip town..
Manual ni gar ndomana ht bei zake inankuwa.juu.tofaut na automatic
Awa wanaopenda auto c wamezoea gar ndogo cc 900 awajakutana na mitambo kitu unaipa gia mpaka mwnyw unafurai inavyofunguka three pedals mpango[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…