Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Jama yuko vizuri na ni hustler sana, ila ukimsikiliza akiongea utadhani ndugu zangu nshomileWeee !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jama yuko vizuri na ni hustler sana, ila ukimsikiliza akiongea utadhani ndugu zangu nshomileWeee !!!
Kama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!..Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Barabara ya lami inaliwa we chawa??Hospital ya Kanda,
Tactic inakuja na kifurushi Cha kuzidi kuna stand mpya,kuna kituo Cha daladala na Bajaji,kuna masoko 2 yanaboteshwa na ujenzi wa soko jipya kabisa na Kuna barabara kibao za lami..
Kubwa zaidi kawezesha kupatikana eneo la kujengwa Chuo kikuu Cha Udsm kule Tanganyika packers,kawezeshwa kujengwa kwa hospital ya Ocean Road pale TBC .
Mwisho njia 4 zinaanza kujengwa mapema mwaka ujao.
Wawekee na ile kasomba Kijiji....
Duh kwa nafsi yako kabisa unaamini tulia alishinda Ubunge halali Mbeya...?Kama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!.
Ila 2025- 2030 ndio term ya mwisho ya Dr. Tulia, 2030 Tulia hagombei tena ubunge, hivyo huo sasa ndio muda wa Sugu kurejea Mbeya.
P
1. Hii stand mpya ipo wapi??Hospital ya Kanda,
Tactic inakuja na kifurushi Cha kuzidi kuna stand mpya,kuna kituo Cha daladala na Bajaji,kuna masoko 2 yanaboteshwa na ujenzi wa soko jipya kabisa na Kuna barabara kibao za lami..
Kubwa zaidi kawezesha kupatikana eneo la kujengwa Chuo kikuu Cha Udsm kule Tanganyika packers,kawezeshwa kujengwa kwa hospital ya Ocean Road pale TBC .
Mwisho njia 4 zinaanza kujengwa mapema mwaka ujao.
Umeelewa maelezo yangu? Hii ni awamu ya ngapi kwa Spika kuwa mbunge wa Mbeya?1. Hii stand mpya ipo wapi??
2. Kituo cha daladala na bajaji kipo wapi?
3. Haya masoko mawili yapo wapi??
4. Hili soko jipya lipo wapi?
5. Hizi barabara Mpya za lami zimejengwa wapi ukiacha ile ya uyole kwenda kwa mh. Spika?
Kwa hiyo mnalala na njaa si ndio? Sugu huwa anawalisha si ndio? Usiwe mpumbavuBarabara ya lami inaliwa we chawa??
Mmepata Kiwewe...jamaa anatembea tu Nyomi ya raia inamfuata NyumaUmeelewa maelezo yangu? Hii ni awamu ya ngapi kwa Spika kuwa mbunge wa Mbeya?
Hiyo ni kawaida kwa wasanii ,tunaopenda maendeleo tutapata kiwewe ila kama mumeridhika na mlivyo endeleeni na wajinga wajinga.Mmepata Kiwewe...jamaa anatembea tu Nyomi ya raia inamfuata Nyuma
Shetani hajawahi shinda...
Maendeleo ? Teh teh teh tehHiyo ni kawaida kwa wasanii ,tunaopenda maendeleo tutapata kiwewe ila kama mumeridhika na mlivyo endeleeni na wajinga wajinga.
Picha iko wapi?Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.
Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.
Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.
Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.
Welcome back Sugu.
Sasa hapo mnamkomoa nani? Ccm au nyie wenyewe?Maendeleo ? Teh teh teh teh
Sugu endelea kukatiza kitaa raia tupo na wewe...wanune wavimbe wapasuke
Akili za Mwendakuzimu....Sasa hapo mnamkomoa nani? Ccm au nyie wenyewe?
Mkimchagua Sugu huyo huyo atawaletea maendeleo hii haina blaa blaa mtaoga kwenye mavumbi hadi akili ziwakae sawa kama tuu Kigoma hadi walipoacha kuchagua wapinzani.
Ndo hivyoAkili za Mwendakuzimu....
mtafutieni Jimbo lingine , vinginevyo mtapoteza spika wenuKama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!.
Ila 2025- 2030 ndio term ya mwisho ya Dr. Tulia, 2030 Tulia hagombei tena ubunge, hivyo huo sasa ndio muda wa Sugu kurejea Mbeya.
P
huyo kishakuwa chawaDuh kwa nafsi yako kabisa unaamini tulia alishinda Ubunge halali Mbeya...?
Mungu hadhihakiwi....
Sijui wako wangapi , lakini Sugu ni Bilionea mwaka wa 5 sasaKumbeTanzania tuna mabilionea wengi hivi hadi Sugu ni bilionea!, sikujua. Mungu ibariki Tanzania.