Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa

Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa

.Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.

Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.

Welcome back Sugu.
Kama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!.

Ila 2025- 2030 ndio term ya mwisho ya Dr. Tulia, 2030 Tulia hagombei tena ubunge, hivyo huo sasa ndio muda wa Sugu kurejea Mbeya.

P
 
Hospital ya Kanda,
Tactic inakuja na kifurushi Cha kuzidi kuna stand mpya,kuna kituo Cha daladala na Bajaji,kuna masoko 2 yanaboteshwa na ujenzi wa soko jipya kabisa na Kuna barabara kibao za lami..

Kubwa zaidi kawezesha kupatikana eneo la kujengwa Chuo kikuu Cha Udsm kule Tanganyika packers,kawezeshwa kujengwa kwa hospital ya Ocean Road pale TBC .

Mwisho njia 4 zinaanza kujengwa mapema mwaka ujao.
Barabara ya lami inaliwa we chawa??
 
Ni kama vyama vyote viwili havina kura za maoni, kwamba tayari mgombea wa ubunge 2025 kupitia CCM ni TULIA na kupitia CHADEMA ni SUGU.

Demokrasia
 
Kama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!.

Ila 2025- 2030 ndio term ya mwisho ya Dr. Tulia, 2030 Tulia hagombei tena ubunge, hivyo huo sasa ndio muda wa Sugu kurejea Mbeya.

P
Duh kwa nafsi yako kabisa unaamini tulia alishinda Ubunge halali Mbeya...?

Mungu hadhihakiwi....
 
Hospital ya Kanda,
Tactic inakuja na kifurushi Cha kuzidi kuna stand mpya,kuna kituo Cha daladala na Bajaji,kuna masoko 2 yanaboteshwa na ujenzi wa soko jipya kabisa na Kuna barabara kibao za lami..

Kubwa zaidi kawezesha kupatikana eneo la kujengwa Chuo kikuu Cha Udsm kule Tanganyika packers,kawezeshwa kujengwa kwa hospital ya Ocean Road pale TBC .

Mwisho njia 4 zinaanza kujengwa mapema mwaka ujao.
1. Hii stand mpya ipo wapi??
2. Kituo cha daladala na bajaji kipo wapi?
3. Haya masoko mawili yapo wapi??
4. Hili soko jipya lipo wapi?
5. Hizi barabara Mpya za lami zimejengwa wapi ukiacha ile ya uyole kwenda kwa mh. Spika?
 
Umeelewa maelezo yangu? Hii ni awamu ya ngapi kwa Spika kuwa mbunge wa Mbeya?
 
Baada ya kupita kimya kirefu takribani miaka miwili siku ya jana aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi Maarufu kama Sugu, alionekana mitaani huku akishangiliwa kwa nguvu sana na Vijana.

Hii ni picha inayoashiria kuwa amerejea kwenye kutafuta jimbo ambalo kwasasa linashikiliwa na Tulia Ackson Spika wa bunge la JMT.

Wananchi mbalimbali wa Mbeya wametoa maoni yao kuwa Sugu akiamua kugombea tena Mwaka 2025 ataibuka na ushindi wa kishindo.

Huu ndiyo muda wa Siasa tunazozipenda.

Welcome back Sugu.
Picha iko wapi?
 
Maendeleo ? Teh teh teh teh

Sugu endelea kukatiza kitaa raia tupo na wewe...wanune wavimbe wapasuke
Sasa hapo mnamkomoa nani? Ccm au nyie wenyewe?

Mkimchagua Sugu huyo huyo atawaletea maendeleo hii haina blaa blaa mtaoga kwenye mavumbi hadi akili ziwakae sawa kama tuu Kigoma hadi walipoacha kuchagua wapinzani.
 
Kama Sugu alishindwa na Dr. Tulia, wakati Dr akiwa Naibu Spika, sasa Tulia ni Spika, kwa 2025 Sugu has no chance at all!.

Ila 2025- 2030 ndio term ya mwisho ya Dr. Tulia, 2030 Tulia hagombei tena ubunge, hivyo huo sasa ndio muda wa Sugu kurejea Mbeya.

P
mtafutieni Jimbo lingine , vinginevyo mtapoteza spika wenu
 
Back
Top Bottom