Manunuzi ya nguo zimwi linalomaliza pesa za wanawake

Manunuzi ya nguo zimwi linalomaliza pesa za wanawake

Wewe unataka kuupotosha umma wewe 😆😆😆😆
Kivipi mrembo. Nyie mnakuwaga na visirana...bila drama ndani ya nyumba hamfurahi....lazima siku moja moja mkute sms ya mchepuko tupigane mangumi alafu mnyanduano ndio unanoga.
Baadae unapelekwa shopping na outing na watoto...one big happy family
 
Heheheheh kama unachosema ni kweli vile mnyanduo hardcore baada ya ugomvi ndo wenywe unagusa kila engooo😆😆😆
Nimesahau tuko kwnye kipindi cha sensa
Embu tujenge taifa kwanza
 
Heheheheh kama unachosema ni kweli vile mnyanduo hardcore baada ya ugomvi ndo wenywe unagusa kila engooo😆😆😆
Nimesahau tuko kwnye kipindi cha sensa
Embu tujenge taifa kwanza
Hahaha aisee kumbe mnapendaga hiyo ya kugusa kila kona eeh
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, Kama ilivyo katika watu wanaoongoza kuwa na nguo ni wanawake.

Hii yote hutokana na kutaka kuwa na muonekano mzuri na utanashati.

Pia mavazi hayo yanafanya mwanamke kuwa mrembo zaidi kulingana na aina ya mavazi.

Kuna aina nyingi za mavazi yanayopendwa sana na wanawake.

Mojawapo ya mavazi hayo ni yale ya casual, official na wedding guest.

Leo tutazungumzia mavazi ya aina mbili ya casual ambayo ni suruali za aina mbalimbali, blouse za aina mbali mbali, vigauni.

Haya mavazi ya mitoko ya weekend yaani casual na mitoko ya hapa na pale ni moja ya mavazi yanayonunuliwa bila mpangilio wa pesa, maana mwanamke akiiona tu nguo ukute ni blouse au jeans, zimwi linaamka hata kama hakupanga kununua atanunua tu.

Nguo zingine ananunua lakini havai kabisa utakuta kabati limejaa akitaka kuvaa anavurugwa kichwa mpaka avuruge kabati.

Mavazi mengine ni pamoja na mavazi ya sherehe, ambayo ni yale magauni ambayo wanavaa kama wedding guest.

Huwa magauni hayo yanatumia gharama nyingi sana, ila hata kama pesa akupangilia ananunua wala hajali.

Mbaya zaidi magauni haya yanaendana na rangi husika ya wakati huo au rangi ya ukumbi, pia na fashion husika hivyo humlazimu kila sherehe kununua nguo.

Zimwi hili la kununua nguo limekuwa likiwatesa sana mabinti wengi na wengine wamejikuta wakidanga ili wanunue nguo zinazokwenda na wakati.

Ukija katika ndoa yani wanawake hasa wale wa uswahilini pamoja na mama wa nyumbani ambao hawana kazi wamekuwa wakibana pesa za waume zao za matumizi kama mlo kamili ambazo wanaachiwa wanabana ili wanunue nguo.

Zimwi hili halijaishia hapo linawafanya wanawake kuwa watumwa wa kwenda na wakati ambao wakati huo hauendi na wao.

Isipokuwa wakati huo umegeuka zimwi ambalo limekuwa likipoteza pesa zao.
View attachment 2320322
Umenena kweli, hii kasumba inawatesa wengi sana. Sijui ni kutojiamini, ama sijui ni kutaka kuonekana, ama sijui ni nini.
 
Halafu kabla ya kuanza kupagawa, ANAPIGA BASI NGUO TANO..!! Na ndo zinaenda kumpagawisha vilivyo. Binafsi, kama natoka naye, nahakikisha nakaa kwenye TV mpaka atakapokuwa tayari amemaliza kupagawa. Na wakati anapagawa, OLE wako umuulize au umuhimize kuwahi..!! UTAJUTA kwanini ulimuuliza..!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu hizo nguo tano alizopiga past havai, anakuja vaa nyinginee
 
Unataka kuchepuka...naenda kusema kwa ...
ah usijanye hivyo bwana kwa nini unataka kuharibu mambo tena besty. wewe uchune tuu. sii mnajijua wenyewe lakini bila mwanaume kuwa na mpango wa kando maisha yanakuwa na stress
 
Nchi ipo uchumi wa kati wacha wenye maduka ya nguo tutajirike
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu hizo nguo tano alizopiga past havai, anakuja vaa nyinginee
Sasa ukute ile anayojifanyaga anaipedaaa.. kaiunguza na pasi, ataitaja kila siku anapoalikwa pahala..!! Yaani ile niliyoiunguza ningeivaa leo..!! Wakati ilipokuwepo alikuwa anairuka kila siku
 
Sasa ukute ile anayojifanyaga anaipedaaa.. kaiunguza na pasi, ataitaja kila siku anapoalikwa pahala..!! Yaani ile niliyoiunguza ningeivaa leo..!! Wakati ilipokuwepo alikuwa anairuka kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unauzoefu nao hataree
 
kumbeee...na matumizi yake ni ya nini maana muda sio mrembo wife kaniomba apa hela ya kusuka jamani eti elfu 70 duh!
Malkia account ni ya wanawake wenye nia ya kujiendeleza inatoa faida mpaka 5% kwa mwaka
 
Back
Top Bottom