Manunuzi ya nguo zimwi linalomaliza pesa za wanawake

Manunuzi ya nguo zimwi linalomaliza pesa za wanawake

Hapo kwenye sherehe wanawake wa uswahilini wameweza sana.....
Wao ni full kushonesha sare ya madera ya tsh 10000/=.............

Lakini pia wanawake wa kiislamu wameweza sana,.......
Wao huvaa hijab 24/7, kitu cha gharama kwao ni Perfume tu.......
Umelala sana kijana.

Kuna manguo ya gharama mpaka laki tano labda wewe hujui tafauti zao unaona zote ni za kiislamu tu.

Hata ndani ya hizo hijabu nywele huwa zinatengenezwa, lengo ni kuwa aone mwenyewe aliyelipia mahari siyo kila mtu.
 
Mkuu wangu, mimi nasema nachoona kwa macho,
Huko ndani ya hayo mahijabu ya Waislamu nikague nipate nini ?
Lakini pia, sisi kwetu uswahilini wanawake wetu wanavaa madera na mabaibui ya bei ndogo..
Hayo manguo ya laki tano kutoka Dubei, na manywele ya Peru na Brazil tunawaachia ninyi Maposh.....
 
Back
Top Bottom