Manunuzi ya nguo zimwi linalomaliza pesa za wanawake

Mkuu kuna watu ambao nyumba shida kwao,ada za watoto sio tatizo tena na pesa ndogo ndogo zipo sasa kilichobaki ni kutafuta kinachokupa furaha,TUISHI maisha ndo hayahaya.
 
Mwingine juzi hapa ameenda kununua chupi 5 kwa elfu 50!wakati chupi anazo za kutosha,kisa tu et ni toleo jipya huh! Kwenye simu yupo na magroup ya collections/boutiques kibao ya nguo na viatu.

Yani hajielewi kabisa, namna ya kumpa elimu aachane na hayo makitu na lifestyle hiyo ni ngumuuuu balaaa maana keshazama huko.

Wadada ninyi akili zenu! aaaarrrrghrrrrrghrrrgh
 
Ni shida
 
Hao ni waislamu wa buza mkuu wanawake wa kiarabu wananua nguo nyingi na za gharama kubwa sana
 
Kila sherehee mnayoenda usipokuwa makini na mkeo utanunua nguo mpyaaa na viatu daily..
 
Mtu alikuwa anapata zero Hadi kwenye sanaaa,!
Unakuta sahizi kavalisha kichwa wingi la laki mbili na nusu!
Haya sio matumizi mabaya ya fedha kweli,!!?
 
Wewe na mleta mada mlitakiwa kwenda kuwa mapadri au mabruda wa kikatoliki msiooa na msio na majukumu ya familia ikiwemo wake

Mwanamke anatakiwa kuwa na chupi za kutosha hadhi za chupi zinatofautiana za bei kubwa na quality iko juu

Unatakaje sasa Avae chupi za mitumba za Shikingi mia tano ambazo aliyevaa Ulaya alikuwa na kaswende? Au
.
Kifupi kwa ushauri wangu maskini hatakiwi kuoa aende upadri au uburuda katoliki akaape viapo vya kuishi kimaskini bila mke

Mleta mada na wewe nendeni kwa Askofu katoliki muombe kuwa mapadri au mabruda wa kanisa katoliki
 
Hata hao hawana pesa bhn huwezi mtenganisha na mwanamke na mavazi ya gharama na matumizi ya pesa sijui saloon, Parfums na malosheni na zagazaga zingine
Uko sahihi Tatizo vianaume vimaskini vinaparamia ndoa kuoa wanawake ,vidume maskini havitakiwi kuoa vitafute pesa kwanza
Kidume kimaskini kikija kikisema hutaki kuolewa na mimi sababu sina hela kinatakiwa kujibiwa direct ndiyo kwani wewe una hela? Katafute wa saizi yako anayeweza kuvumilia huo ulofa wako sio mimi umekosea njia nenda kijijini kwenu kaoe malofa wenzio kuepuka kelele za kibwege kama za mleta mada

Eti kuwa na chupi nyingi tu kesi loooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…