Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Mfano mmoja ni aliyekuwa dereva wa Lissu amesoma mechanical engineering na sasa ana permanent employment inayomlipa vizuri tofauti na maisha aliyokuwa akiishi huku bosi wake akiwindwa na wauaji ambapo hata yeye usalama wake ulikuwa hatari.
-Kweli kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.
 
Ebu nitajie kazi rasmi ya Lissu huko Ubelgiji!

Tunaona Ngurumo akiwa na hiyo blogu yake!

Je!
Lissu anafanya kazi gani,tofauti na kutuambia aliandika kitabu!

Ila kopi ya kitabu chake hatuioni akitembea nayo kuinadi nchini.

Lissu muda mwingi anafanya michongo ya kukamat8sha mali za serikali nje ya nchi.

Zaidi ya hiyo ni ile mikutano ya LBGT anayoihudhuria kwa wingi Uingereza.

Hata sasa kapewa mualiko.

Nyie endeleeni kudanganyana huko Ufipa.
 

Serikali hii inafitinishwa na nani wakati kila siku iko huko huko inakopa?
 
Umeandika kimzaha (satire) ila umepiga point za nguvu sana
 
Eti USA kwa juu😂
 
Hao uliowataja ni wachache, kwa ujumla unyanyasaji wa Jiwe ulihamisha wafanya biashara wengi sana kuanzia transporters, retailers mpaka wenye viwanda.
Kipindi cha Jiwe ilikuwa transporters wakinunua trucks zinakuwa registered nchi za jirani, kule border ya Tunduma wote walikimbilia kufungua maduka on the other side of the border sasa ndiyo imekuwa wanamiliki maduka pande zote mbili jambo ambalo ni loss kwa TRA kwani sasa kuna Wakongo, Wazimbabwe na Wazambia wenyewe ambao huduma zao wanazipata Nakonde(Zambian side of the border) badala ya Tunduma.
Kuna makampuni ya transportation ambayo yalifungua ofisi Lubumbashi, sasa yamewezesha mizigo inashuka Beira badala ya D'Salaam, Jiwe alikuwa anaua nchi ndiyo maana alikuwa anapora wafanyabiashara kwa mabavu. He was literally killing the private sector deliberately.
Hata Malawi Meru ndiyo inaongoza kwa sasa.
 
Ongeza na Dr slaa
 

Weka ushahidi hapa wa huo mualiko sio kuleta utoto usio na kichwa wala miguu.
 
Asante, kwa ufafanuzi zaidi. Na yote uliyoyaandika ni ukweli mtupu.
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Mtu mzima wa 40 + anafanikiwaje kwa kuwa mkimbizi. Kwani wewe Mafanikio unayatafsiri Vipi? Ukimbizi ni emergency situation. Lema naye alikimbia baada ya kushindwa ubunge. Msiwape watu hadhi wasizokuwa nazo.
Kwanza una chuki binafsi na Lema,pili Lema hakushindwa uchaguzi kwa sababu ule haukuwa uchaguzi bali uchafuzi ndani ya Tanzania huru.Nakukumbusha kuwa Yusufu mtoto wa Yakobo alipata utajiri ukimbizini Misri na akaokoa familia yake na nchi yake.Kukaa ukimbizini siyo ugonjwa au kosa la jinai bali ni kuhakikisha unaishi kwa amani na furaha tele kuliko sehemu uliyozaliwa yenye majanga lukuki na mikosi kibao.
 
Mkuu hawa siasa zao za sasa ndio wameiua chadema rohoni, siasa za kwenye youtube bado sana kwa nchi kama Tz, sasa unaona Tundu Lissu kaja ata wiki 2 bado anarudi ulaya eti kaitwa na madaktari
 
Hatari sana,Mungu amekata mzizi wa fitina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…