Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Ponguza upumbavu,ili uwe muelewa!

Sio kila anaeishi Ughaibuni basi ni amefanikiwa!

Huko nako kuna mitaa ya mabanda!

Bahati mbaya Ufipa,akili mnashikiwa na Mnyika!

Hao wote uliowataja,kule waliko wanaishi kwa kupewa Posho!

Na Lissu anaishi kwa kuifitinisha serikali ya Tanzania na mabeberu yake!...
kina Robert Amsterdam!

Muwe mnafikiria kwa kichwa sio ma*alio.
Hivi wewe kila mtu akitoa mawazo yake kwa nini unayahusisha na Ufipa pamoja na Mnyika?
Wapi umesoma kuwa hilo ni tamko la Chama?
Kwani wewe ukiugua mthuti wako (kipare) basi tuseme Lumumba wote wana tatizo hilo? Au tumtaje Chongolo kuwa naye ni hivyo?
Muwe na adabu kwa na wengine na kuheshimu mawazo ya mtu bila Kuya unganisha na wengine
 
Si ndio ufurahie kama chadema imekufa?

Chadema ilikuwa tangu 2020 na aliyeiua alipewa taji.
Tunataka upinzani wenye nguvu kuondoa hawa mabeberu sio upinzan legelege
 
Ebu nitajie kazi rasmi ya Lissu huko Ubelgiji!

Tunaona Ngurumo akiwa na hiyo blogu yake!

Je!
Lissu anafanya kazi gani,tofauti na kutuambia aliandika kitabu!

Ila kopi ya kitabu chake hatuioni akitembea nayo kuinadi nchini.

Lissu muda mwingi anafanya michongo ya kukamat8sha mali za serikali nje ya nchi.

Zaidi ya hiyo ni ile mikutano ya LBGT anayoihudhuria kwa wingi Uingereza.

Hata sasa kapewa mualiko.

Nyie endeleeni kudanganyana huko Ufipa.
Mbona Mh. Lissu anakuwasha na kuumiza sana! Alikufanya nini mkuu au basi tu?
 
Kwani Chadema ikifa huko rohoni wewe unaumia au kukosa nini mpaka una lia lia?
Tulikuwa na matumaini nayo kuleta mageuzi Tz, sasa wameungana na wenzao bei chee wamenunuliwa mbowe ameacha kudai katiba mpya na sasa hatoki Ikulu saa zote
 
Anzisha wa kwako
Mumeshiba hela, mama kamnunua Lissu na mbowe bei chee, hakuna lisilowezekana walibana mwanzo halafu wakaachia wameungana na kina kafulila., hela inaongea
 
Mkuu hawa siasa zao za sasa ndio wameiua chadema rohoni, siasa za kwenye youtube bado sana kwa nchi kama Tz, sasa unaona Tundu Lissu kaja ata wiki 2 bado anarudi ulaya eti kaitwa na madaktari
Mnafiki Sana wewe wakifanya siasa hasa mnawawekea Sheria za kuzuia mikutano wakiwazidi hoja mnawapiga risasi wakikimbilia uhamishoni mnasema wanaenda Kwa mabeberu wakitumia teknohama mnasema wameiua chadema siasa za mtandaoni Bado Tanzania kiufupi nyie ni mashetani.
 
Tulikuwa na matumaini nayo kuleta mageuzi Tz, sasa wameungana na wenzao bei chee wamenunuliwa mbowe ameacha kudai katiba mpya na sasa hatoki Ikulu saa zote
Matumaini yapi kama sio unafiki,mlipoambiwa kulikuwa na uchafuzi badala ya uchaguzi na mkatakiwa muingie barabarani kupinga,mbona mliufyata.
 
Kwani mbowe ni baba yako? Anzisha chama chako ukadai hiyo katiba au amsha watu kama wewe mkadai hiyo katiba mpya, kama huwezi na unahisi mbowe ndiyo ana hatimiliki ya kudai katiba basi kaa kwa kutulia ukisubria plan zake
 
Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao.

1. Tundu Antipas Mughway Lissu.
Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international sio kama yule wa 2017 kurudi nyuma lissu yule alikuwa lissu local huyu wa sasa ni Lissu international. Ama kweli kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendo.

2. Roma Mkatoliki.
Yuko mambele ma USA huko sio roma yule tena wa simba na yanga jukwaani huyu ni roma mnyamwenga Roma wa ulimwengu wa kwanza sio yule roma wa kuvunja nazi mkata msata mpaka kubwaga manyanga.

3. Mbunge God bless Lema
Kutoka kuwa mu arachuga mpaka kuwa mcanada yani USA kwà juu mtu wa kuishi ma otawa ubaridini daaah kweli Muache Mungu aitwe Mungu.

4. Ansbert Ngurumo.
Mwamba yuko Mahelsinki finland ukitaka paite ufini au ufinidini maubaridini huko anakula ma rain deer ya kuchoma na ma barbeque ya ajabu full mamikaa ya mbele mamikaa yenye kaboni og daah walahi awamu ya tano ilibugi sana.

Kiufupi miamba yote imeongezeka maexposure maconection na watu wa mambele maneeeeener.!!!
Mungu pekee anajua hatma yako usimuogope mwanadamu.
Yaani nimekuonea huruma kiasi kwamba nafikiria kukuwekea Misa Takatifu kwenye Jumuiya yetu hapa Rubambangwe, Chato!
 
Yaani nimekuonea huruma kiasi kwamba nafikiria kukuwekea Misa Takatifu kwenye Jumuiya yetu hapa Rubambangwe, Chato!
Kamuwekee Misa ya kitubio huyo muuwaji wenu wa chato ukimaliza weka Misa takatifu kwa Marehemu Ben Saanane ambae aliuwawa na magufuli na mpaka Leo maiti yake haijawahi kuonekana popote duniani.
 
Back
Top Bottom