Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

Hivi wewe kila mtu akitoa mawazo yake kwa nini unayahusisha na Ufipa pamoja na Mnyika?
Wapi umesoma kuwa hilo ni tamko la Chama?
Kwani wewe ukiugua mthuti wako (kipare) basi tuseme Lumumba wote wana tatizo hilo? Au tumtaje Chongolo kuwa naye ni hivyo?
Muwe na adabu kwa na wengine na kuheshimu mawazo ya mtu bila Kuya unganisha na wengine
 
Si ndio ufurahie kama chadema imekufa?

Chadema ilikuwa tangu 2020 na aliyeiua alipewa taji.
Tunataka upinzani wenye nguvu kuondoa hawa mabeberu sio upinzan legelege
 
Mbona Mh. Lissu anakuwasha na kuumiza sana! Alikufanya nini mkuu au basi tu?
 
Kwani Chadema ikifa huko rohoni wewe unaumia au kukosa nini mpaka una lia lia?
Tulikuwa na matumaini nayo kuleta mageuzi Tz, sasa wameungana na wenzao bei chee wamenunuliwa mbowe ameacha kudai katiba mpya na sasa hatoki Ikulu saa zote
 
Anzisha wa kwako
Mumeshiba hela, mama kamnunua Lissu na mbowe bei chee, hakuna lisilowezekana walibana mwanzo halafu wakaachia wameungana na kina kafulila., hela inaongea
 
Mkuu hawa siasa zao za sasa ndio wameiua chadema rohoni, siasa za kwenye youtube bado sana kwa nchi kama Tz, sasa unaona Tundu Lissu kaja ata wiki 2 bado anarudi ulaya eti kaitwa na madaktari
Mnafiki Sana wewe wakifanya siasa hasa mnawawekea Sheria za kuzuia mikutano wakiwazidi hoja mnawapiga risasi wakikimbilia uhamishoni mnasema wanaenda Kwa mabeberu wakitumia teknohama mnasema wameiua chadema siasa za mtandaoni Bado Tanzania kiufupi nyie ni mashetani.
 
Tulikuwa na matumaini nayo kuleta mageuzi Tz, sasa wameungana na wenzao bei chee wamenunuliwa mbowe ameacha kudai katiba mpya na sasa hatoki Ikulu saa zote
Matumaini yapi kama sio unafiki,mlipoambiwa kulikuwa na uchafuzi badala ya uchaguzi na mkatakiwa muingie barabarani kupinga,mbona mliufyata.
 
Kwani mbowe ni baba yako? Anzisha chama chako ukadai hiyo katiba au amsha watu kama wewe mkadai hiyo katiba mpya, kama huwezi na unahisi mbowe ndiyo ana hatimiliki ya kudai katiba basi kaa kwa kutulia ukisubria plan zake
 
Yaani nimekuonea huruma kiasi kwamba nafikiria kukuwekea Misa Takatifu kwenye Jumuiya yetu hapa Rubambangwe, Chato!
 
Yaani nimekuonea huruma kiasi kwamba nafikiria kukuwekea Misa Takatifu kwenye Jumuiya yetu hapa Rubambangwe, Chato!
Kamuwekee Misa ya kitubio huyo muuwaji wenu wa chato ukimaliza weka Misa takatifu kwa Marehemu Ben Saanane ambae aliuwawa na magufuli na mpaka Leo maiti yake haijawahi kuonekana popote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…