Manyara: 8 mbaroni kwa kushangilia kifo cha Magufuli

Nimekupata..kwamba hoja yako hizi fedha zingetumika kwenye miradi ya maendeleo ama ujenzi wa vyumba vya madarasa na zahanati.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutaki chuki katika taifa letu,tupendane,hata unaye amini ni adui yako mwombee mema.
 
Sidhani kama kuna mtanzania anayeshangilia kwa hiari yake kifo cha mzee wetu na mshindi wa uongo wa manabii wa korona
 
Kuna msiba ambao watu wote wanatakiwa wawe na huzuni muda wote? Umeshawahi kufiwa wewe ukiondoa huu msiba wa bosi wako?

Ukiwa kule makaburini au hata nyumbani, hujashuhudia wakati wengine wanalia na kuhuzunika, wengine utawaona wanapiga zao stori, kucheka na kufurahi? Iweje msiba huu watu wote walazimishwe kulia/kuhuzunika?

Hivi Mataga mna tatizo gani hasa linalo wasumbua?
 
Analysis yako haijakaa kiuchumi na kihesabu,ingawa umeandika as if umetimia uchumi kudadavua maono yako. Ila ukweli lazima usemwe kipindi cha Marehwmu Maisha yamekuwa magumu sana-angeendelea kuwepo hadi 2025 watu wengi wangekufa kwa kukosa basic needs.

Hali ambayo ingepelekea Taifa kukosa nguvu kazi na mwisho ni kupungua kwa uzalishaji na uchumi wa Taiga na MTU moja moja.

Jamaa alikuwa na nia ya dhati kabisa ya kuifanya Tanzania Mpya-but approach zake zilikuwa za hovyo,na mbaya zaidi hakutaka ushauri wa MTU yoyote halo iliyopelekea watu wote kwenye upeo kumuona kama MTU asiyekuwa na directions.

Binafsi bado naamini kifo cha Magu,Maalimu,na Kijazi vyote ndani ya mwezi 1 sio sababu ya COVID au Moyo there something beyond that.
 
Kwani kuomboleza lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…