kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Tujichangee maselaaa tukamuoe huyo mama halafu tuone kama jamaa hata maindi [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mke anaelekea bado kinganganiziHicho kipigo peke yake ni talaka tosha
Kama ni kwenda mahakamini ni kukamilisha taratibu tuu
Sawa msemaji wa familia ,tumekuelewaDc mstaafu amshushia kipigo mkewe,amtishia kumtandika bastola.
Philomena Toima ambaye ni mke wa mkuu wa wilaya mstaafu wa wilaya mbalimbali nchini,Peter Toima amelazwa katika kituo cha afya cha Simanjiro kufuatia kipigo cha mmewe akiuguza majeraha mbalimbali mwilini mwake...
Swadaktaaaaa mtumishiHata sisi wakristo mkuu,Mungu anasema anachukia kuachana,ni udhaifu wetu wa imani ndio unatufanya tutafute njia nyepesi ya kujiepusha na madhara,ndio tunafikia uamuzi wa kuachana otherwise kama ukisimama imara katika kumtumaini Mungu there is always a way out...
Awekwe LockupDC kazingua
Zinaa haijawahi kumuacha mtu salama....Ukiendekeza ngono na kuona hilo tu ndio jambo muhimu sana kuliko mengine lazima yakukute makubwa siku moja.mkojo shida yake utoke tu,kama shimo lipo ndani huko nje tunatafutaga nini wanaume wenzangu.??
Mzungu ametuweza kwa mengi,kitendo Cha kuwa na mke mmoja kwa mwafrika ni kosa Sana,Babu zetu wameishi kwa Raha Sana ,Nyuma ya pazia yako mengi sana...Kwenye hizi ndoa..mimi sidhani kama ni sahihi sana kulaum bila kuwasikiliza wote wawili.
Tunashituka kwa hili kwasababu ndilo tunaloona.Toima hajasema yake ...