Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

Tujichangee maselaaa tukamuoe huyo mama halafu tuone kama jamaa hata maindi [emoji23]
 
Dc mstaafu amshushia kipigo mkewe,amtishia kumtandika bastola.

Philomena Toima ambaye ni mke wa mkuu wa wilaya mstaafu wa wilaya mbalimbali nchini,Peter Toima amelazwa katika kituo cha afya cha Simanjiro kufuatia kipigo cha mmewe akiuguza majeraha mbalimbali mwilini mwake...
Sawa msemaji wa familia ,tumekuelewa
 
Pole kwake.

Nikivaa viatu vya Peter na kujiuliza, hivi kwenye uteuzi kuna mali ya kuchuma pamoja? Hiyo 'title' ya Mama DC (rtd) kwa sasa anayo Scolla. kwanini Philomena amfuatefuate kwenye minuso...

"UKINIZENGUA,,,
 
Hii habari ni mpya kweli?Au tukio hilo limetokea mara ya pili?
 
Tukio kama hili lilitokea kwa wanandoa hawa na kuripotiwa tarehe 17 April 2020 hapa hapa Jamii Forums. Au ndio ilikuwa first anniversary?
 
Ndoa ni miaka miwili. Baada ya hapo tunaishi kishkaji tu.

Hii kitu ya hadi kifo kitutenganishe inazingua sana. I wish ingekua official mkataba 3 years hivi. Ikiisha mmoja wenu ana renew, ukiridhika mnaendelea. Otherwise tembea hivi.
 
Utaishije na mume wa dizaini hii, kwanini asivunje hiyo ndoa la sivyo atakufa na kumuacha mchepuko anatawala hizo mali.
 
Hata sisi wakristo mkuu,Mungu anasema anachukia kuachana,ni udhaifu wetu wa imani ndio unatufanya tutafute njia nyepesi ya kujiepusha na madhara,ndio tunafikia uamuzi wa kuachana otherwise kama ukisimama imara katika kumtumaini Mungu there is always a way out...
Swadaktaaaaa mtumishi
 
Huyo mzee ni miongoni mwa wazee waliolifikisha taifa hapa kwa mambo yao hayo kama familia yake tu haipendi vipi kuhusu watu baki anaowatumikia?
 
Ukiendekeza ngono na kuona hilo tu ndio jambo muhimu sana kuliko mengine lazima yakukute makubwa siku moja.mkojo shida yake utoke tu,kama shimo lipo ndani huko nje tunatafutaga nini wanaume wenzangu.??
 
Nyuma ya pazia yako mengi sana...Kwenye hizi ndoa..mimi sidhani kama ni sahihi sana kulaum bila kuwasikiliza wote wawili.

Tunashituka kwa hili kwasababu ndilo tunaloona.Toima hajasema yake ...
 
Nyuma ya pazia yako mengi sana...Kwenye hizi ndoa..mimi sidhani kama ni sahihi sana kulaum bila kuwasikiliza wote wawili.

Tunashituka kwa hili kwasababu ndilo tunaloona.Toima hajasema yake ...
Mzungu ametuweza kwa mengi,kitendo Cha kuwa na mke mmoja kwa mwafrika ni kosa Sana,Babu zetu wameishi kwa Raha Sana ,
 
Back
Top Bottom