FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hao watoto ni wake kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spelling mistake kumkomoa mume wakeAliyeelewa hii statement tafadhali.
Sijui mvinyo umenielemea kichwani,sina uhakika...
Nafkir alikusudia kuandika "anamkomoa"Anamuokoa mume kwa kuua watoto!
Yote yanachangiwa na uongozi wa kipumbavu wa Jiwe!So sad, Haya matukio ya kifamilia yamekuwa mengi sana siku hizi
Aisee..kiasi mpaka nafikiria watoto wangu ndivyo waivyo kama hawa,hapa sheria haihitaji uchunguzi, huyu nae ni afadhari wampoteze tu maana mnyama asiye faa hata kukaa jela kutumia gharama za wengine kwa kula chakulaMama mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Regina Daniel (24) mkazi wa Louxmanda Kijiji cha Bashnet Wilaya ya Babati mkoa wa Manyara, anatuhumiwa kuwauwa watoto wake watatu kwa kuwalisha maembe yenye sumu inayodaiwa ni ya Panya .
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Desemba 5 mwaka huu ambapo mtuhumiwa aliyapaka sumu maembe mawili kisha kuwapatia watoto hao.
Leo Jumatatu Desemba 7,2020 Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara ACP Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema chanzo cha Mauaji hayo ni ugomvi wa kifamilia kati ya mama huyo na mume wake ambao umesababisha mke kuchoshwa na maisha hayo na kuamua kufanya tukio hilo kwa lengo la kumuokoa mume wake.
Kamanda amewataja watoto waliopoteza maisha ni Emmauel Agustino (7), Emiliana Agustino (4) na Elisha Agustino ambaye umri wake ni mwaka mmoja (1).
Kasabago ameeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa kwa ajili ya kumfanyia mahojiano.
Mtoto ameua watoto wake.Miaka 24 mdogo sana
... kumkomoa!Aliyeelewa hii statement tafadhali.
Sijui mvinyo umenielemea kichwani,sina uhakika...
Inahuzunisha sanaMtoto ameua watoto wake.
Kumuokoa, kwamaana kwamba mumewe alikuwa akilalamika kuwa watoto ni mzigo kwenye familia.kumuokoa au kumkomoa mumewe?