Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara .



Kama kawaida Mimi Mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri .

Usiondoke JF
===========
Tayari Mambo yameanza Taratibu



Chadema haina shughuli ndogo

 
Nchi lazima ichechemke sio woote usingizi kazi kumwimbia mama-mama!!
Piga kazi makamanda tupo pamoja kunamambo mengi ya hovyo yanaendelea hii nchi.
Juzi kunamtumishi mwalimu Senior kabisa kakuta mshahara wake haufiki lakimbili kisa "bodi ya mikopo"!!
Kwanini bodi inakata mkopoa kibabe bila kumzingatia Sheria ya mtumishi kubakiwa na 1/3 ya mshahara wake??
Mtumishi huyu ataishi vipi? Atafundisha Kwa ufanisi? Ametendewa haki?
Atakuwa mzalendo?
 
Poleni wananchi
 
Baada ya maandamano ??????????
 
Muungano naona wananchi wameungana
 
Hizi sura mbona ni zilezile zilizokuwa bukoba mwanza manyara, baada ya buses kuanza kusafiri usiku coaster zimekosa kazi zimeanza kusomba wabeba mabango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…