Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

Hizi sura mbona ni zilezile zilizokuwa bukoba mwanza manyara, baada ya buses kuanza kusafiri usiku coaster zimekosa kazi zimeanza kusomba wabeba mabango
Unahisi wananchi ni wale wale wamesafirishwa na malori?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Joined Wednesday , ukipata uzoefu utaanza kuwa na heshima
Mimi nimkongwe humu kushinda wewe id isikuchanganye

chadema mnamihemko hamtumii akili.
nijibu swali langu upo kwenye maandamano au upuchumbani namumeo umekumbatiwa?
 
Hawana jipya, ni Dkt Samia tu 2025!
 
Mimi nimkongwe humu kushinda wewe id isikuchanganye

chadema mnamihemko hamtumii akili.
nijibu swali langu upo kwenye maandamano au upuchumbani namumeo umekumbatiwa?
Mbona una hasira kaka shida ni nini?
 
Sio Sgang tena?
Mimi ni mwana CCM mtiifu, nitamsema mwenyekiti wangu ili nijue wanafiki mnasemaje na suala la uchaguzi ni yeye ndiye mgombea na ni yeye nitapigana Dkt Samia ashinde uchaguzi kwa kishindo.
 
Uyo mtumishi alijitokeza kwenye moja ya haya maandamano yanayoendelea nchini? Isije ikawa anataka atetewe wakati yeye kajifungia chumbani kwake.
 
Mimi ni mwana CCM mtiifu, nitamsema mwenyekiti wangu ili nijue wanafiki mnasemaje na suala la uchaguzi ni yeye ndiye mgombea na ni yeye nitapigana Dkt Samia ashinde uchaguzi kwa kishindo.
Sema wewe ni Chawa inatosha.
 
Hizi sura mbona ni zilezile zilizokuwa bukoba mwanza manyara, baada ya buses kuanza kusafiri usiku coaster zimekosa kazi zimeanza kusomba wabeba mabango
Mbowe yuko Mara , je nako sura ni zile zile ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…