Hivi uchaguzi wa serikali za mtaa umekuwa wa kufanya watu wanyama namna hii.Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
View attachment 3162960
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kugombea kitongoji tuu hadi kuua?!Watanzania munapigana risasi hata kwenye positions ndogo hizi!
Wewe sababu ya kuuawa kwa George umeambiwa na nani?Watanzania munapigana risasi hata kwenye positions ndogo hizi!
Je kwenye kubwa itakuwaje,mbinu ya kuengua bado haikutosha?Watanzania munapigana risasi hata kwenye positions ndogo hizi!