Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huenda ni katika tukio la unyang'anyi wa kutumia silaha,Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
kuna vitu vitu vinafanywa hii nchi ni kama hakuna viongozu wakuu..Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika kulinda kula za wajuu mzigo unaanzia chini.Uenyekiti tu mpaka bastola, mwakani urais, ubunge na udiwani si watu watapigana ma RPG
Zilikuwa zinapaushwa ila kwa Sasa wamejua hawana nguvu ya kuwapumbaza Mana marudio hayapunbazi Zaid kukushtueni Sasa huu ndio mwendo.Tumefika huku?
Inasikitisha sana!Katika kulinda kula za wajuu mzigo unaanzia chini.
Na kila mteule unaemuona wamemsimamisha huwa yupo tayari kuuwa ili kulinda kura za walio juu yake.
#Maagizo.
Ndugu zangu nchi hii sasa tumebakia na kete mbili zilizo kuu ili tuondokane na vitisho na uongozi wa kidhalimu wa CCM chini ya SAMIA Suluhu Hassan ,kete ya kwanza ni ss wananchi kuamua kuandamana nchi nzima non stop kujitetea wenyewe dhidi ya mateso ya kutekwa na kuuawa kwa ndugu zetu mbalimbali.Kete ya pili ni JESHI la WANANCHI wa TANZANIA kama linavyofahamika kuchukua mamlaka kwa niaba ya wananchi kama kweli jeshi hili ni lao na liko kwa ajili ya wananchi.Mauaji yanayoendelea sasa naamin ni zaidi ya awamu zote zilizowahi kupita kuongoza Taifa hili.Kete hz mbili yoyote inaweza kuanza bila kusubiri nyingine kwa lengo la kuponya Taifa.Anayeshabikia watu kutekwa ,kuteswa na kuuawa ni kwa sababu hana upendo na uzalendo kwa watanzania wenzake.Majeshi ya wananchi kama ya Burkina faso,Mali na kwingineko yalipoona siasa chafu zinazonuka kama mavi zikiendeshwa ndani ya nchi zao majeshi hayo yaliingilia Kati ya kuwafurusha wanasiasa washenzi na wapumbavu wasio na Akili wanaohujumu nchi zao.JESHI letu linasemwa na kusifiwa kuwa lina weledi,nidhamu na maadili ya hali ya juu kabisa,Sasa SWALI la msingi linawezaje kuwa na sifa zote hizo Alafu linavumilia wananchi wake wakiteseka,je sifa hizi kea jeshi letu ni za kweli?.Kama nchi ni lazm tuache usanii na tujitafakari kwa kina na mapana.Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma - LGE2024 - Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA, kama kawaida risasi imekata kona!
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
🤣Huu ni mpumbavu.
Ila MUNGU anawaina hawa wapumbavu.
Serikali ya mtaa haina mshahara, Ila uchaguzi wake watu wanauana.Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma - LGE2024 - Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA, kama kawaida risasi imekata kona!
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa nini usimweleze wewe unaye ijuwa sababu?Wewe sababu ya kuuawa kwa George umeambiwa na nani?
Sisiemu Makatili
Sa tufanyaje nchi ndio mmetukabidhi kwa hiali yenu wenyewe tena mkipanga mstari kuhakikisha tunawaongoza.Umetumwa na Wewe?
Sawa mkuuSa tufanyaje nchi ndio mmetukabidhi kwa hiali yenu wenyewe tena mkipanga mstari kuhakikisha tunawaongoza.
..Ni mauaji ya mgombea wa Chadema ktk wilaya ya Manyoni.
..zilifanyika jitihada za kumdanganya DC pamoja na wachunguzi wa Polisi ili kuwalinda wauaji.
..inaelekea DC Dr.Mashinji ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema hataki kuwalinda wauwaji.
..tusubiri kuona kama wahusika watachukuliwa hatua, lakini inaelekea CCM ina magenge ya kihalifu yamesambaa nchi nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=jVM7kwn9HQE