zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wale wale waliokamatwa Jana na madumu ya Petroli kwenda kuchoma nyumba moto kwani kuna wengine?Ni nani waliompiga risasi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wale waliokamatwa Jana na madumu ya Petroli kwenda kuchoma nyumba moto kwani kuna wengine?Ni nani waliompiga risasi?
Chama Cha MashetaniChama Cha Machinjachinja
Chanzo Cha Matatizo
Na hiyo dola watadumu nayo miaka 10,000 au ? Je watakufa nao au wapo milele. Laana ya damu haitawaacha salama."Katika suala za kushika Dola hatuna mzaha".
Inasikitisha.
Masikitiko haya mikono yako imejaa damuHatucheki na wowote, tunavilinda vyetu Vyeo.
Chadema maroboti hawawez kutufollow, Uaa mama uaaa!
Sisi ndio CCM na hamna cha kutufanya, Mmeipenda wenyewe.Masikitiko haya mikono yako imejaa damu
4R, mitano tenaMgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umetumwa na Wewe?Sisi ndio CCM na hamna cha kutufanya, Mmeipenda wenyewe.
Serikali hii hii ya Dr Samia!?Hili ni trela,picha kamili ni uchaguzi mkuu Mungu akipenda mwakani,wanaua na hakuna wa kuwawajibisha,.
Huko si ndio Kuna Yule Mbunge rafiki yake na Zoka?Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wanaccm wakifa ni sawa tu maana hawana maana!Mambo kama haya ndio yanapelekea wananchi kufurahia vifo vya wana CCM....maana inaonekana wenzetu wameshaondokwa kabisa na utu
Anguko lao limefikaYaani kwa sasa hakuna kilicho hatari kwa maisha ya watanzania, kama CCM. CCM imekuwa adui namba moja wa uhai, usalama na ustawi wa mtanzania. Ni aheri hata mkoloni alikuwa na huruma kuliko CCM. Hakuna mkoloni aliyekuwa akiua watu hovyo, kama inavyofanya CCM.
Tena wafe sanaa tuWanaccm wakifa ni sawa tu maana hawana maana!
PolisNi nani waliompiga risasi?