Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni trela,picha kamili ni uchaguzi mkuu Mungu akipenda mwakani,wanaua na hakuna wa kuwawajibisha,.Watanzania munapigana risasi hata kwenye positions ndogo hizi!
CCM.Chama Cha Machinjachinja
Chanzo Cha Matatizo
Uchaguzi ni mchakato . Hauwezi kuwa huru na wa haki siku ya kupiga kura tu.Halafu yule mama mwenye macho kama kala kungu anadai uchaguzi utakuwa huru na haki 😕
Tumefika huku?"Katika suala za kushika Dola hatuna mzaha".
Inasikitisha.
Yaani kwa sasa hakuna kilicho hatari kwa maisha ya watanzania, kama CCM. CCM imekuwa adui namba moja wa uhai, usalama na ustawi wa mtanzania. Ni aheri hata mkoloni alikuwa na huruma kuliko CCM. Hakuna mkoloni aliyekuwa akiua watu hovyo,Ccm wameamua liwalo na liwe